ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,720
- 5,286
Inflation rate ya Kenya Iko juu kuliko ya tz regardless how stable is their currency.
Tena bora Mombasa tunafananiana nao kidogo kuliko Nairobi.
Inabidi upambane haswa ili u survive kuishi Nairobi.
Ila pia inakupa challenge kubwa ya utafutaji tofauti na hapa home.
Wakenya wanna struggle sana kwenye maisha compared na WA tz.
Ndio mana hata wanaona sisi ni wazembe Fulani hivi.
Nilikaa na mkenya for 1 month hapa tz. Kila kukicha alikua ananipa maono ya biashara.
Kifupi bongo uchakarikaji mdogo fursa nyingi kuliko Kenya.
Unajua ke kuipata hata sehemu ya ardhi ni issue kubwa sana? Most part of land walishajimilikisha familia za waheshimiwa.