Hivi unajua million 1.97 ya Tanzania ni sawa na laki 1 ya Kenya

Somo la Purchasing Power Parity ni muhimu sana

Ilitakiwa tupime pia purchasing power ya currency

Mfano mtu akiwa na USD 1 Kenya na Tanzania ni yupi atanunua bidhaa na huduma nyingi kumzidi mwenzake

Hizi hesabu za kulinganisha thamani ya pesa kati ya nchi moja na nyingine bila kupima living cost kati ya nchi hizo zina ukakasi
 
Somo la GDP Purchasing Power Parity ni muhimu sana

Ilitakiwa tupime pia purchasing power ya currency

Mfano mtu akiwa na USD 1 Kenya na Tanzania ni yupi atanununua bidhaa na huduma nyingi kumzidi mwenzake

Hizi hesabu za kulinganisha thamani ya pesa kati ya nchi moja na nyingine bila kupima living cost kati ya nchi hizo ni bure kabisa
Achana na purchasing power uzi ni Kes vs Tsh basi
 
Somo la GDP Purchasing Power Parity ni muhimu sana

Ilitakiwa tupime pia purchasing power ya currency

Mfano mtu akiwa na USD 1 Kenya na Tanzania ni yupi atanununua bidhaa na huduma nyingi kumzidi mwenzake

Hizi hesabu za kulinganisha thamani ya pesa kati ya nchi moja na nyingine bila kupima living cost kati ya nchi hizo zina ukakasi
Hii imenikumbusha ligi inayoendelea mitandaoni kati ya sarafu ya Ghana na Nigeria

Sarafu ya Ghana ina thamani kuliko ya Nigeria lakini kwenye gharama za maisha Waghana wanapigika kuliko Wanaijeria
 
Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania

Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
Unashangaza unapoamini thamani ya pesa inareflect Uchumi.
Hebu tuambie Japan ni uchumi wa 4 kwa ukubwa Duniani lakini pesa yake (Yen) ni chini kuliko Kenya, inakuwaje hapo?
 
Unashangaza unapoamini shamanic ya pesa inareflect Uchumi.
Hebu tuambie Japan ni uchumi wa 4 kwa ukubwa Duniani lakini pesa yake Yen ni chini kuliko Kenya, imakuwaje hapo?
Japo Lowassa alikuwa ni mwanamtandao lakini aliona mbali sana kufahamu kuwa matatizo mengi ya nchi hii tatizo kubwa lipo kwenye Elimu, Elimu, Elimu
 
Hizo namba zinawapumbaza mpaka hao wakenya wenyewe.

Kwa tafsiri fupi wote mnaopumbazwa na hizo ratio ya ksh na Tshs.

Naandika kwa lugha rahisi kabisa ili namba zisiwadanganye.

Tsh 100,000 ya TZ ni sawa na Ksh 5157 hivi ya kenya.

Sasa swali la msingi linakuja kwa msioelewa

Kwa haraka haraka mtu atalinganisha 5157 ya kenya na 5100 ya Tz, unatakiwa pia ujiulize hichi kitu muhimu sana, ikiwa hapa Tanzania unamlipa kinyozi 5000 kunyoa nywele, kule kenya atalipa 257Ksh. Kwa tafsiri fupi tu mpaka hapa hiyo KSh 5157 ina uwezo kulipia watu wazima 20 kunyoa nywele kwa hiyo sio ela ndogo au haba kama namba yake inavyosomeka.

Je ni kwa mazingira yapi tungesema uchumi wa kenya mkubwa kwa kigezo cha pesa yao kuwa kubwa kithamini kuzidi yetu.

Jibu lipo hapa narudi kwenye ile 100,000 ya Tzs na Ksh5157 ambazo kithamani zipo sawa, uchumi wa Kenya ungekuwa mkubwa na kubebwa na currency yao endapo, kinyozi wa kenya angelipwa hata 3000Ksh kwa kunyoa mtu mmoja, ambapo kwa Tzs huyu mtu angekua amelipa kiasi cha Tsh 58,168 hapa kweli tungesema tupo hoi bin taaban na tungesema hawa watu kweli uchumi wao ni mzuri sana.

Ndivyo ilivyo kwa America pia mtu anaenda salon ela ya chini kabisa unakuta analipa 50 USD kunyoa nywele wakati hiyo 50USD kwetu ni inafanya mambo mengi ila kwa mwenzetu kule ni mteja mmoja vs wateja 20 au 30 huku kwetu.

Nadhani wa kuelewa wataelewa😁😁😁
 
Nisaidie uelewa hapa: Endapo mtu(mkenya) atawekeza miradi yake Tanzania na faida atakayopata akaitumia Kenya. Na mwekezaji mwingine( mtanzania) akawekeza Kenya na faida yake akatumia Tanzania, ni yupi atakaefaidika zaidi?
 
Chapati kenya ni 20 bob ambayo ni 400 tsh alafu kunawatu wanasema kenya wapo vizuri kiuchumi, uchumi gani
Ilitakiwa wanunue chapati Tsh ngapi ili uchumi wao uwe mkubwa? Vipi sisi tunanunua bei kubwa kuliko wao, uchumi watu ukoje?
 
Hizo namba zinawapumbaza mpaka hao wakenya wenyewe.

Kwa tafsiri fupi wote mnaopumbazwa na hizo ratio ya ksh na Tshs.

Naandika kwa lugha rahisi kabisa ili namba zisiwadanganye.

Tsh 100,000 ya TZ ni sawa na Ksh 5157 hivi ya kenya.

Sasa swali la msingi linakuja kwa msioelewa

Kwa haraka haraka mtu atalinganisha 5157 ya kenya na 5100 ya Tz, unatakiwa pia ujiulize hichi kitu muhimu sana, ikiwa hapa Tanzania unamlipa kinyozi 5000 kunyoa nywele, kule kenya atalipa 257Ksh. Kwa tafsiri fupi tu mpaka hapa hiyo KSh 5157 ina uwezo kulipia watu wazima 20 kunyoa nywele kwa hiyo sio ela ndogo au haba kama namba yake inavyosomeka.

Je ni kwa mazingira yapi tungesema uchumi wa kenya mkubwa kwa kigezo cha pesa yao kuwa kubwa kithamini kuzidi yetu.

Jibu lipo hapa narudi kwenye ile 100,000 ya Tzs na Ksh5157 ambazo kithamani zipo sawa, uchumi wa Kenya ungekuwa mkubwa na kubebwa na currency yao endapo, kinyozi wa kenya angelipwa hata 3000Ksh kwa kunyoa mtu mmoja, ambapo kwa Tzs huyu mtu angekua amelipa kiasi cha Tsh 58,168 hapa kweli tungesema tupo hoi bin taaban na tungesema hawa watu kweli uchumi wao ni mzuri sana.

Ndivyo ilivyo kwa America pia mtu anaenda salon ela ya chini kabisa unakuta analipa 50 USD kunyoa nywele wakati hiyo 50USD kwetu ni inafanya mambo mengi ila kwa mwenzetu kule ni mteja mmoja vs wateja 20 au 30 huku kwetu.

Nadhani wa kuelewa wataelewa😁😁😁
Hii inaenda sambamba na malipo: posho, mshahara, tips nk

Deiwaka wa US anakula mkwanja mrefu kuliko qualified dokta wa Bongo!
😂😂😂

(I am joking 😜 but you get my point).
 
Nisaidie uelewa hapa: Endapo mtu(mkenya) atawekeza miradi yake Tanzania na faida atakayopata akaitumia Kenya. Na mwekezaji mwingine( mtanzania) akawekeza Kenya na faida yake akatumia Tanzania, ni yupi atakaefaidika zaidi?
Hakuna tofauti na kama ipo ni kidoncho sanaaaa nasema hivi kwasababu, hizi chumi zetu zinalingana.

Nasema hivyo kwasababu hata ukichukua mkenya akaja hapa bongo kununua gari, urahisi au ugumu unaopitia wewe kwenye uzito wa thamani wa gari husika nayeye ataisikia vilevile😁😁😁

Narahisisha zaidi, kama wewe inakuchukua miaka miwili kununua hiyo gari na mkenya itamchukua miaka hiyohiyo unayosota ndio ule ulingano kiuchumi ninaozungumzia.
 
Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania

Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
Thamani ya pesa ni MANUNUZI siyo NAMBA.

Leta hapa na bei zifuatazo kati ya TZ na Kenya.

  • Kilo ya unga
  • Nauli ya daladala
  • Mtungi wa gesi
  • Luku
  • Kodi chumba kimoja
  • Pesa kumuona daktari
 
Back
Top Bottom