Karaoke
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 879
- 1,720
Nadhani uchumi sio swala la purchasing power peke yake ni pamoja na uwezo wa kupata hiyo hela ukoje.Thamani ya pesa ni MANUNUZI siyo NAMBA.
Leta hapa na bei zifuatazo kati ya TZ na Kenya.
- Kilo ya unga
- Nauli ya daladala
- Mtungi wa gesi
- Luku
- Kodi chumba kimoja
- Pesa kumuona daktari
Mfano Gharama ya kumuona specialist Tanzania ni Tshs30,000,, USA kumuona daktari wa kawaida ni usd 150,, ambayo ni zaidi ya laki 3 ya TZ.