Hivi unajua million 1.97 ya Tanzania ni sawa na laki 1 ya Kenya

Hivi unajua million 1.97 ya Tanzania ni sawa na laki 1 ya Kenya

Chapat Dar tsh 1000 mpaka 2000 inategemeana na sehemu.
We wap wewe chapat2 jero karibia nch nzima

Kwenye ugumu chapat tatu buku kama dar huko...

Sasa Kenya chapat moja 400 tena mombàsa huko ukienda Nairobi unapata chapat kwa 2000 ya kibongo
 
Mbona wazungu watalii wanapenda kwenda kwenye nchi ambazo thamani ya pesa Yao Iko chini..

mfano umeenda marekani kusoma ukapata fursa ya kufanya kazi ukakusanya pesa,, pesa hiyo marekani inaonekana ni ndgo lakini ukija nayo huku unafanya vitu vikubwa hii imekaaje,?

Swala hapa sisi ni masikini kiasi kwamba vitu vikuzwa kama marekani hatuwezi nunua au sisi ni matajiri hivyo vitu ni vingi mpaka vimekosa Soko ndo maana vinauzwa Bei ya chini l naomba ufafanuzi.
 
Hivi unajua Vietnam ni moja ya nchi Tano duniani zenye pesa yenye thamani ndogo kuliko hata hyo Kenya na Tanzania? Lakini unaweza kufananisha uchumi wa Vietnam na Kenya au Tanzania?
 
1,500,000 Rupiah ya Indonesia ni sawa na
230,889.73 Shilingi ya Tanzania
 
We wap wewe chapat2 jero karibia nch nzima

Kwenye ugumu chapat tatu buku kama dar huko...

Sasa Kenya chapat moja 400 tena mombàsa huko ukienda Nairobi unapata chapat kwa 2000 ya kibongo
400 ni usd au ksh au tsh? Mimi nakula chapati tsh 1000 na sehemu nyingine tsh 2000
 
Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania

Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
Shida ya watanzania mnakimbilia kujadili mambo siyokua na ujuzi nayo.
Thamani ya pesa sio kipimo cha ukubwa wa uchumi.
Hela ya Korea kusini ni ndogo kuliko hela ya Kenya.
Je Kenya imeizidi Korea kusini kiuchumi??
Unaizungumzia Kenya hii ambayo raia wake huko Taita taveta wanavuka kuja kupata matibabu Arusha na Kilimanjaro!?
Unaizungumzia Kenya hii ambayo hupewa msaada wa chakula na WFP!?
Unaizungumzia Kenya hii ambayo ina higher unemployment rate?
Unaizungumzia Kenya hii ambayo inaongoza kwa makazi duni hapa Afrika na makazi duni ya tatu duniani!?
Au unaizungumzia Kenya ipi!?
 
Indicators of a healthy economy
  • Stable democracy
  • Military might
  • Rule of law
  • Standards of living, social issues, religion, etc
  • Education, health, mortality rate
  • Individual freedom & happiness index
  • Nation reserve
  • Import and export
  • Diplomacy & international relations
  • Independence - how much a country depend on itself in case of let's say a sudden epidemic, catastrophic occurrence or even war?
Kenya hapo hawana hata kimoja.
 
Mkuu mfano wako huo ndio purchasing power yenyewe.

Au wewe unaelewaje?
Purchasing power ya usd na kshs kwa hapa TZ Ina thamani zaidi kuliko Tshs,, nilitaka nieleweke hivyo nadhani nilikua nasinzia wakati naandika😄
 
Thamani ya hela ku reflect ama kutoreflect uchumi ni pale inapokua haipo stable, biashara na uwekezaji havipendi hela ambayo inashuka na kupanda kila siku, ila hela kupanda ama kushuka vyote vina faida kwenye uchumi.

Kuna Nchi kama China kimakusudi wanashusha hela yao thamani.

Dola yenyewe imepitwa na Riyal ya Oman, Kuwait, pound ya Uingereza, Euro, franc ya Uswis etc je hizo Nchi zimeipita USA kwa Uchumi?
Niliuliza specific kwa dolanyanUS na Tz shiling
 
Mbona wazungu watalii wanapenda kwenda kwenye nchi ambazo thamani ya pesa Yao Iko chini..

mfano umeenda marekani kusoma ukapata fursa ya kufanya kazi ukakusanya pesa,, pesa hiyo marekani inaonekana ni ndgo lakini ukija nayo huku unafanya vitu vikubwa hii imekaaje,?

Swala hapa sisi ni masikini kiasi kwamba vitu vikuzwa kama marekani hatuwezi nunua au sisi ni matajiri hivyo vitu ni vingi mpaka vimekosa Soko ndo maana vinauzwa Bei ya chini l naomba ufafanuzi.
Jibu rahisi na la moja kwa moja ni kwamba gharama za maisha Marekani ni kubwa kuliko Tanzania.

Japo official exchange rate ni 2500TZS kwa dola, hali halisi ni kwamba ukiwa na dola 1 Marekani utanunua vitu vinavyoweza kununuliwa kwa TZS 730 hadi 785 hapo.

Hii ndiyo thamani halisi ya dola kwa TZS. Inaitwa kitaalam PPP (purchasing power parity).

Ili kuelewa vizuri zaidi, PPP kwa nchi za Afrika haioneshi tofauti yoyote kubwa licha ya kwamba official exchange rates zinatofautiana (mfano 1KES kwa 20TZS).

Kwa nini? Gharama za maisha ni almost sawa kote, let's say Tanzania na Kenya.

Wadau wameshatoa mifano mingi huko juu kuhusu thamani ya huduma na bidhaa katika nchi mbili husika.
 
Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania

Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
Hayana maana sana
 
Purchasing power ya usd na kshs kwa hapa TZ Ina thamani zaidi kuliko Tshs,, nilitaka nieleweke hivyo nadhani nilikua nasinzia wakati naandika😄
Je kwa Kenya hiyo Ksh ina purchasing power parity kuliko?
 
Back
Top Bottom