Hivi unajua million 1.97 ya Tanzania ni sawa na laki 1 ya Kenya

Tupe rate ya Kshs vs Yen ya japenga
 
kwa hiyo thamani ya hela kuwa juu ndio kipimo cha maisha bora? we jamaa bana. Bongo ki maisha tumewaacha mbali sana kenya. Jamaa wana ngoma ngumu hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…