Hivi unajua ni kiasi gani bosi wa ofisi anayofanyia mkeo anavyomla mkeo?

Inaonekana unamsongo wa Mawazo unaohitaji ushauri wa Kisaikolojia
Lakini pia Ulichokiandika hakifanani Kabisa na mtu mwenye Elimu ya Masters; Kiwango cha Elimu hujipambanunua chenyewe, Namaanisha huna haja ya kudanganya watu
 
Inaonekana unamsongo wa Mawazo unaohitaji ushauri wa Kisaikolojia
Lakini pia Ulichokiandika hakifanani Kabisa na mtu mwenye Elimu ya Masters; Kiwango cha Elimu hujipambanunua chenyewe, Namaanisha huna haja ya kudanganya watu
Refer comment #7

pia Kamata simu ya mkeo leo@ ifanyie ambush UTANIELEWA TU.

Ila pia kama una connections za PhD kusoma Scholarship then nisogeze tafadhali.

Kuoa hakuna dili, lililo kuu ni kutafuta hela.

#YNWA
 
Uzi wa hovyooooo
 
Inaonekana katika mizunguko yenu ya kimaisha mnakutana na watu wa hovyo hovyo sana.. try to deal with circle
 
Hao ulionitajia wamewahi kuoa na wameachana na wake zao na wanatembea na wanawake wengine na penzi likikolea wanaweza kuoa tena.
 
Kwelii mkuu uyatima ni nyoko sanaaa *****
 
Mleta mada bado hujapenda na kupendwa. Moyo wako ukidondokea kwa mtoto wa watu basi utaishi kwa imani na kuoneleana huruma.

Ndoa ni tamu, na utapata utulivu.

Muombe Mungu, akupe mke mwenye hofu ya Mungu, mwenye maadili mazuri, subra na tabia nzuri. Kwa Mungu kila kitu kinawezekana.
 
Inawezekana aliwahi kuumizwa na kutokana na kuwa na hisia dhaifu ameshindwa ku move on, kila mara anakumbuka alivyogongewa.
 
kwahiyo dogo umeamua kuja kutoa siri zetu huku, poa tutakutana tu majukumuni. [emoji19]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…