Hivi unajua ni kiasi gani bosi wa ofisi anayofanyia mkeo anavyomla mkeo?

Mwisho utaolewa kwani wewe huna demu? Kuoa ni muhimu na ni hiyari ya mtu hata kama ukikutana na changamoto ngapi kuoa Kuna faida zake na hasara zake.Ukishaoa au kuolewa achana na kumfuatilia sana mwenzako.Ukinawa sana makalio utatoa kinyesi na ukimfuatilia sana kuku hutaendelea kumla.Marriage is an oldest social institution in the world. Fuatilia roles zake ndo utaelewa.NDOA INA UMUHIMU WAKE KATIKA MAISHA YA MTU
 
Kuna tofauti kubwa sana ya kuoa na kuolewa

Kuna tofauti kubwa sana ya kuchakata na kuchakatwa
 
Mwisho utaolewa kwani wewe huna demu?
Mbona ume attack sanaa mtoa mada kuliko ku attack mada?
Kuoa ni muhimu na ni hiyari ya mtu hata kama ukikutana na changamoto ngapi kuoa Kuna faida zake na hasara zake.
Kwa dunia ya sasa kuoa ni shida tu.
Huoni maagizo aliyotoa Ummy Mwalimu kuhusu Ma DED?
Ukishaoa au kuolewa achana na kumfuatilia sana mwenzako.Ukinawa sana makalio utatoa kinyesi na ukimfuatilia sana kuku hutaendelea kumla.
Kumfatilia lazima...
We huogopi kuletewa magonjwa ndani?
Marriage is an oldest social institution in the world. Fuatilia roles zake ndo utaelewa.NDOA INA UMUHIMU WAKE KATIKA MAISHA YA MTU
Siku hizi unazaa bila ndoa na utamu unakula bila ndoa...

NDOA HAINA UMUHIMU WOWOTEE.

#YNWA
 
admin
Heading gani hiyo mmeandika?

Kama hamuwezi fanya proof reading kwanini m edit?

#YNWA
 
Mleta mada pumbavu sana. Mama yako aliliwa ndio Wewe ukapatikana kiazi Wewe. Halafu jibu hiyo elimu yako ya MEMKWA.
Mama angu sasa anahusika nini bro?

RIP my Mama.

Nampenda sanaa mama angu japo hayupo Tena.

#YNWA
 
Mbona unatutia jaka moyo sie tulie na wake maofisini ww kijana mdogo usiye na maana..
alaa
 
Mleta mada pumbavu sana. Mama yako aliliwa ndio Wewe ukapatikana kiazi Wewe. Halafu jibu hiyo elimu yako ya MEMKWA.
Relax mkuu..hii ndo hali halisi wala usimtukanie jamaa mama yake mzazi
 
Unaonekana muda mwingi umeutumia kusoma hadi masters hongera sana. Ila huo umbea unapata muda saa ngapi kuufuatilia mtoto wa kiume wewe?

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Punguza umbea wa maofisini.
Mm nashangaaga sana wanaume wa namna hii.

Kama ww hutak kuoa ni sawa.

Ila usibadili mawazo ya wanaume wanaotaka kuoa au kufanya watu wasiioa wasiamini wake zao.

By the end of the day, mke ni mke, na atarud tu nyumban.
Aaagh!
 
Kwa sababu waajiri wengu bado hawajaweza kusimamia sheria za kazi na mahusiano pahala pa kazi. Hawasimamii nidhamu ipasavyo
 
Ndio walivyo wanawake, unaweza kumsaidia kwa wema tu kama binadamu, ila ukishamsaidia analeta mazoea na kukutaka. Ukiwa na kijimsimamo tu anaanza kukuchunia na kukuchukia, mpaka inafika hatua ya kuku-block kabisa. Sijui wapoje hawa wanawake, ukiwatendea mema kwao shida, sijui wanataka nini...
 
Pole mno kaka![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mkuu oa tu na hayo ya kuwaza kuwa mkeo anakusaliti usifuatilie fuatilie. Chukulia kuwa ni kawaida tu maana hakuna miamilifu wanatofautiana viwango vya mapungufu tu ila wote tabia zao zipo vilevile

kikubwa awe nafuu ya uzinzi

ahsante
 

Naona umeoa elimu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…