Hivi unajua ni kiasi gani bosi wa ofisi anayofanyia mkeo anavyomla mkeo?

Kikubwa ni kuhimiza matumizi ya mpira/kinga.
 
Niliwahi fanya kazi pale hospital jiran na Bahari. Wafanyakazi wa mapokezi kutembea na madaktari ilikuwa ni hadji flan bila kujali ndoa zao.

Hii kampuni ya simu jiran na Morocco , aiseeee nilijionea mengi. Ni kawaida wake kutoka na maboss.
Nasikia walimu wa chuo kikuu hawaoi wanawake waliopita chuo
 
kwani kusoma ndiyo kupata hela we boya ? we huoni pamoja na Masters yako bado unapuyanga ofisi za halmashauri unahangaika na MaPS ,maDCs, Madiwani nk.......unasafari ndefu sana mpaka uje ukae meza moja na ma-corporate giants
 
Sema tu kwamba hauna uwezo wa kusimamia familia wala hauna uwezo wa kuwa Baba.

Wanaume wasipooa ni Taifa la aina gani hilo?
La machokoraa ama wahuni?

Ukishindwa kumsimamia mke wako, tambua kuwa ndoa sio sahihi kwako.
Cha msingi tafuta hela,tengeneza familia kwa kuwa na watoto....mwanamke siyo lazima sana hasa kama anazingua
 
kwani kusoma ndiyo kupata hela we boya ? we huoni pamoja na Masters yako bado unapuyanga ofisi za halmashauri unahangaika na MaPS ,maDCs, Madiwani nk.......unasafari ndefu sana mpaka uje ukae meza moja na ma-corporate giants
Mbona povu sanaaa.....

"Shida ni nini?" HEBU TUANZIE HAPO KWANZA.

What goes on with all of this?
Kuna shida pahali?

#YNWA
 
He is so sick
Poor thing

Maya Angelou njoo usome hii comment ya M2WAWA2

Pia I think your madam, basi usisahau kusoma hii mada https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-ummy-ma-ded-chanzo-wanawake-kupigana-ofisini.

Kama umeshindwa kukuelewa mwanamke mwenzio Ummy Mwalimu basi Tena..!!!

Wanao "sick" ni hao wanaogongewa wake zao halafu kesho watakwambia, kitanda hakizai haramu..!!!

#YNWA
 
Mkuu,

Kuoa au kuolewa ni zaidi ya haya yote uliyoyaandika hapa. Kumbuka kuwa ipo siku utazeeka na pengine ukapatwa na magonjwa ambayo yatahitaji mtu wa karibu sana kukuhudumia. Mtu wa kwanza ambaye ataweza kukuhudumia kwa moyo wote ni mke wako, then wanakuja watoto na mwishowe ndugu wa karibu.

Kuoana ni zaidi ya kuishi pamoja na kuchunguzana kama mnafanya tafiti za kisayansi. The moment mtu unaamua kufunga ndoa na mwenza wako, ukiachana na lengo kuu la kupata watoto, kusaidiana katika shida na raha hubaki kama lengo kuu la ndoa.

Sikulazimishi uone faida ya ndoa but jua kwamba ujana unapita na utu uzima ukiingia utapigwa na upweke hadi ufe kwa stress.

I'm out!!!
 
Kwahiyo Bezos na Bill Gates waliachana na wake zao kwasababu walisaliti ndoa? Hopeless kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…