Hata yeye huyo anayefanya huo ujinga ujue kule alipomwacha mke wake nae ana boss wake anamchakata wiki hiyo yote, malipo ni hapahapa duniani, huwezi sema unachakata mke wa mtu, ukifikiri na wako hachakatwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]