Hivi unajua unaweza kutumia akili kidogo tu ukapata pesa nyingi?

Naongezea mkuu CONTROLA
Kwa mjini hizi ukiwa na hizi mashine hukosi dili za hapa na pale.
1.Welding machine
2.Air compressor
3.Mashine ya kumenya na kukatakata viazi vya chips
4.Mashine ya kufyatua tofali za block

KIJIJINI.
1. Mashine ya kupukuchua mahindi ina lipa.
 
Kuna idea moja napita nayo hapa mwakani
 
Uzi bora sana kwangu. Japo ni wa siku nyingi. JF imenisaidia kupata na kupata madini kama haya. Kukodisha vifaa vya ujenzi soon nitaanza kufanya hii biashara maana ujenzi ndio fani yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…