AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Sawa basi achia kamba hio naona unavuta sana mkuuUnaota wewe,
Buza kwa mama bonge mbona hakuna temple?
Huko ndo kumejaa wanawake wauzaji, hakuna cha u Buddha wala nini
Hahahhh kwani wanafanya hata meditation?Unaota wewe,
Buza kwa mama bonge mbona hakuna temple?
Huko ndo kumejaa wanawake wauzaji, hakuna cha u Buddha wala nini
Kwamba watu wa zamani wanafanya meditation?Hahahhh kwani wanafanya hata meditation?
Mkuu kwani hapo shida nini?Kwamba watu wa zamani wanafanya meditation?