Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
-Tupac Amaru Shakur, Yote aliyoyafanya ikumbukwe kuwa alifariki akiwa na miaka 25 tuuš
-Michael Jackson akiwa na miaka 24 aliunda Album ya Thriller ambayo ndo albamu bora zaidi kwenye historia ya Muziki Dunianiš...
-Bob Marley alipata umaarufu duniani kote... akitamba na nyimbo kama 'One Love' aliyoitoa akiwa na miaka 20 tuu mnamo mwaka 1965š
-Usain Bolt nae alitwaa tuzo yake ya riadha katika mashindano ya Olimpiki akiwa na miaka 21 tuuš
-Lil Wayne alipata umaarufu duniani kote akiwa na miaka 25, baada ya kutoa albamu yake ya Carter III mwaka 2008
-Serena Williams alipata umaarufu kimataifa kama mcheza tennis akiwa na miaka 17 na kutwaa tuzo za kimataifaš
-Nguli, Mike Tyson alipata umaarufu kimataifa katika masumbwi akiwa na miaka 20 tuu mwaka 1986...Akishinda tuzo mbalimbali za kimataifaš
-Muhammad Ali alitwaa tuzo ya kimataifa ya World Heavyweight title akiwa na miaka 22 tuu akijizolea umaarufu duniani kote akiwa na umri mdogo tuuš
-Pia ikumbukwe kuwa Yamal ni mtoto wa 2007š
šHao wote hakuna hata mmoja aliyepata umaarufu na ukuu aliyeishi Afrika...Sasa sijui ni kweli hili ni bara lenye Laana auuuuš
āš¾Umaarufu wao wote wameupata nje ya Afrika