covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Hasheem kule aliingia kucheza ila hakuwa star kule..hapa tunaongelea mastaa mzee..Hasheem Thabeet kaenda kucheza NBA akiwa na umri gani? Haujui? We Zombie?
Ni kama diamond platnumz anavyojitahidi kuupenyeza mziki wake kule akifanikiwa kule amefanikiwa duniani kote watamtambua..
Haina maana kuwa hajui hapana anajua na anakipaji kikubwa ila kupenya kule ndio issue.