Hivi unajua ya kwamba hawa wote wamepata umaarufu wao wakiwa nje ya nchi?

Hivi unajua ya kwamba hawa wote wamepata umaarufu wao wakiwa nje ya nchi?

Wewe kwenu kule kijijini mnatumia Mitungi inayopoza maji yanakua km yametoka kwenye friji au hujui hilo unasikiasikia tu? Vikombe kabla ya kuanzishwa viwanda unajua vilikua vinatumika nini kuchotea maji? Au wewe mtoto wa Harufu 2 na 4?
Yani we ni kila za ndiyo umemaliza advance level unaelekea chuo au?

Utafananisha mtungi na refrigerator?

We history one imekuchanganya ety??
 
Mimi miaka 26 nilikua bado nakula mchanga kweli tumetofautiana sana
 
Wewe kwenu kule kijijini mnatumia Mitungi inayopoza maji yanakua km yametoka kwenye friji au hujui hilo unasikiasikia tu? Vikombe kabla ya kuanzishwa viwanda unajua vilikua vinatumika nini kuchotea maji? Au wewe mtoto wa Harufu 2 na 4?
Maskini umesoma zako Points za Afrocentric views ulizopewa na African Elites.

Eti In the 15th century both Africa and Europe were almost the Same but not similar.

Unajiona mwaamba unataka kucompare technology ya mtungi wa maji na fridges... 😂
 
Labda ungo.
Ukitaka kujua umri na elimu ya mtu, angalia anavyojibu kwa kitu ambacho hakijui. Ni negative tu.

Ukitaka kujua umri na elimu ya mtu, angalia anavyojibu kwa kitu ambacho hakijui. Ni negative tu.

Charles Page anakuwa mtu wa kwanza mwenye Asili ya Africa kupewa hakimiliki ya uvumbuzi wa ndege 1906.

Wright Brothers wanavumbua na kukamilisha majaribio ya ya kutengeneza Ndege yenye engine 1900-1903.
Wanakamilisha.

Have you got any idea 💡.
Achana na machapisho ya kujifariji watu weusi.

Tulipoahindwa tukubali, tujenge maisha yetu kwendana na kasi ya maisha ya sasa wazungu wamegundua vyao na waafrika tumegundua vyetu pia sikatai ila vyetu havipewi kipaumbele pengine kwa sababu ya ubora wa vitu vyenyewe, viapumbele vyetu kwenye kusapoti teknolojia zetu, we unafkiri waafrika wanashindwa kuandika vitabu vyao wakawatukuza watu wao na kuanziaha theories zetu watu wazisome kama tunavyosoma vitabu vya wazungu katika mitaala yetu?

Jibu ni rahisi vyetu havina ubora kulinganisha na vyao, hata kama tutaanzisha idea sisi wao wataitekeleza kwa ubora mkubwa kiasi cha kuishawishi dunia kukubaliana na wao.
 
Hata doto magar kapata umaarufuna miaka 45 ikiwemo na babu wa tiktok kapata umaaruf na mika 54 sisi huku watu wanapata unaaruf wakiwa na umri mara mbili yao big up sana
Umenifanya nimkumbuke bibi cheka wa tmk alipata kaumaarufu kashakua bb, na yule mzee chilo toka me mdogo ni mzee nahis alitoboa uzeeni
 
Back
Top Bottom