luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Huu mradi sisi wenye tume uharibu, wakati mradi ulipo anza awali kabisa ulikuwa ktk mpito (interim) ulikuwa mzuri sanaaa kila kitu electronic ticket, kadi zile yaan ulikuwa ukipanda dereva anajitambulisha hii ilikuwa ni nzuri ata ikitokea incase dereva akafanya hovyo unapiga simu CC una mripoti...
Lkn serikal walipoondoa tu electronic system kuleta ule upuuzi wa karatasi zile nasikia wale wakatishaj wajanja wajanja wanapiga sanaa + zile hamsini hamsini za abiria
Binafsi mm siamin kama kuna hasara wanapata hawa jamaa, kama wanapata hasara kwann wanazidi kutanua ruti ?