Hivi unakuzaje akaunti za Social media na kuwa na followers wengi

Hivi unakuzaje akaunti za Social media na kuwa na followers wengi

888I

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
472
Reaction score
581
Habari za muda huu Mjumbe 😂

Mimi ninaulizo hili nahitaji kufahamu Mbinu zote za kukuza akaunti za Social media haswa (Instagram na TikTok) Mbinu zote (Halali na zisizo halali) lengo ni kujifunza tu kwa vitendo zaidi wajumbe uwanja ni wenu karibuni kwa maoni....
 
Facebook unafanyika mechanically na( fake) Friend Requests. Friend request ambapo mtu ameambiwa akutumie friend request. But what else can you expect seeing that Mike Zuckerberg is a CIA agent.
 
Bwashee, nenda msikitini na kitimoto nusu iliyokaangwa siku ya ijumaa saa saba. Kisha ingia na viatu na huku unakula wakati ukiwa live insta. DK 2 nyingi utapata mamilioni ya followers world wide. Hii mbinu ilinisaidia sana ila mimi niliingia nacho bar.
 
Chupi kichwani viatu mkononi.....katikati ya mitaa ya msimbazi adi jangwani
 
Bwashee, nenda msikitini na kitimoto nusu iliyokaangwa siku ya ijumaa saa saba. Kisha ingia na viatu na huku unakula wakati ukiwa live insta. DK 2 nyingi utapata mamilioni ya followers world wide. Hii mbinu ilinisaidia sana ila mimi niliingia nacho bar.
😂😂😂Daah
 
Back
Top Bottom