Hivi unamfahamu mtu mjinga kuliko wote? Ona hii

Alafu nikama wamegundua hii kitu inawangizia pesa sana maana sasa hivi vi kampuni vya kubet vimekuwa vingi sana
 
Umevuna milion ngapi hadi leo kupitia barcelona akicheza na las palmas?

[emoji3][emoji3][emoji3] Odd itakua 1.2 ukiweka milion 1 faida elf 5000


Acheni ubishi wa kijinga mkiambiwa ukweli

Hakuna mnacho kipata zaidi ya kumtajirisha Kanji.
 
Umevuna milion ngapi hadi leo kupitia barcelona akicheza na las palmas?

[emoji3][emoji3][emoji3] Odd itakua 1.2 ukiweka milion 1 faida elf 5000


Acheni ubishi wa kijinga mkiambiwa ukweli

Hakuna mnacho kipata zaidi ya kumtajirisha Kanji.
Wewe hesabu ulipta ngapi? Millioni 1 ukizidisha na 1.2 faida inakuwa 5000 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahahahaha Una F ya hesabu unataka kubishana na mm? Rudi QT kwanza ukarisiti Maths ndo uje ubishane na mm! Barca odd 1.2 , madrid odd 1.3, liverpool odd 1.35 ukizidisha hizo odd kwa M 1 unapata faida zaidi ya million
 
Kubet ni sawa na kupiga kura kwenye uchaguzi.

Ile kura unakua unamchangia yule unayempigia kura ili awe tajiri na wewe uendelee kunyonywa na kulimwa mikodi
Huu mfano wako upo tofauti.
 
Vijana tumechooooka[emoji22][emoji22] hooi kuliko hata wazee,akili zetu zimegota hazitaki kufikiri tena,...tunawaza utajiri wa haraka bila kuangalia kuwa tunazidi kufubaza bongo zetu na miili yetu kwa ujinga...eeh,mwenyezi Mungu utuhurumie na uturehemu...."vijana tunaangamia kwa kukosa maarifa"[emoji31][emoji31][emoji31]
 
Mimi dio mjinga kwakua sichezi kamari na sijawahi cheza kamari
 
Hata kutia mimba ni kubet maana hujui utazaa mtoto gani, yupo hai au amekufa.
 
Kwanin kila mmoja asiangalie maisha yake asee...wapo wanaopiga bia every damn day tena wakiwa na kampan anaebet naye ule ndo ulevi wake kikubwa kla mmoja anajua anachokipata. Hujui hela nakoipata utanipangiaje kuspend. Wengine kubet kwao ni simple kuliko unavozan na ukiona kila ukibet unaliwa ujue we mgeni kweny fani. Ngoja niwahi kutengeneza mkeka wa asubuh kwanza alafu ntarud
 


Huwezi shinda bahati nasibu kama huchezi.....kama wewe unaona ujinga waachie wenzako watafute ridhiki zao. Kucheza bahati nasibu si haram na wala haijakatazwa, Mungu hajakataza watu kucheza huu mchezo. Ukiona kero wewe tuachie sie watafutaji ridhiki.
 


The above Quote shed a light.
Something being legally approved doesn't necessitate it to be the right thing.
You must have to scan it, think, reflect and ponder over it before being pertaken and drowned into it.

Nothing worthwhile of success has ever been easy, Tis solely by persistently working hard and smart whilst enjoying being busy.

Gambling, jackpots and betting is one amongst the titivated devils that which titilate the easy money seekers in vain.

God forbid I may never even tip my fingure on it.
 
Hakuna anaekupangia kwa sababu peza ni za kwako na uamuzi ni wa kwako. You are free to choose whatever you like.
Kama haya yote unayajua hebu rudia kupitia thread yako tena kuanzia kichwa hadi kwenye sentensi yako ya mwisho
 
Gambling is an entertainment like as entertainment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…