Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umevuna milion ngapi hadi leo kupitia barcelona akicheza na las palmas?Halafu nani kawadanganya kubeti ni Bahati nasibu? Hivi Barcelona akicheza na Las palmas unafikiri kushinda ka Barcelona ni Bahati nasibu? Man city akicheza na Stoke city hivi unadhani man city kushinda ni bahati nasibu? Bahati nasibu ni Biko na Tatu mzuka ila kubeti kuacheni kama kulivyo tena msiingilie kabisa eti tena mnakuja na vifungu vya vitabu vitakatifu, yani watu Wanafirana huko daily hamuwaoni? Ila kubeti ndo mnaona dhambi kubwa
Wewe hesabu ulipta ngapi? Millioni 1 ukizidisha na 1.2 faida inakuwa 5000 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahahahaha Una F ya hesabu unataka kubishana na mm? Rudi QT kwanza ukarisiti Maths ndo uje ubishane na mm! Barca odd 1.2 , madrid odd 1.3, liverpool odd 1.35 ukizidisha hizo odd kwa M 1 unapata faida zaidi ya millionUmevuna milion ngapi hadi leo kupitia barcelona akicheza na las palmas?
[emoji3][emoji3][emoji3] Odd itakua 1.2 ukiweka milion 1 faida elf 5000
Acheni ubishi wa kijinga mkiambiwa ukweli
Hakuna mnacho kipata zaidi ya kumtajirisha Kanji.
Huu mfano wako upo tofauti.Kubet ni sawa na kupiga kura kwenye uchaguzi.
Ile kura unakua unamchangia yule unayempigia kura ili awe tajiri na wewe uendelee kunyonywa na kulimwa mikodi
Ujinga wako ni upi?Mimi dio mjinga kwakua sichezi kamari na sijawahi cheza kamari
View attachment 682895
Hii nimeikuta mahali nami nikaamua kushare nanyi.
Mjinga ni vibarua Milioni moja wanao changa Tsh. 500 kila siku sawa na 500,000,000/= ambayo ni (Blioni 1.5) kwa mwezi na kumpa bilionea ambaye baadae huwashukuru kwa kumchagua kibarua mmoja na kumpa milioni 10 kama shukrani tena baada ya wiki.
Nadhani wale wakali wa KUBETI wanaweza kulithibitisha hili zaidi yangu.
Kundi kubwa la vijana limeendelea kuwa masikini kwa tamaa ya kupata utajiri wa haraka wakidhani watakuwa miongoni mwa watakaochaguliwa wapewe hiyo M 10.
Hebu mkumbushe Kijana wa Africa kwamba hakuna utajiri wa ghafla.
Ili aondokane na ndoto za kuwa bilionea kwa Kubeti. Mwambie aache kuibiwa kwa faida ya wachache.
Ukiachana na hilo kijana huyu anakuwa pia hajasalimika mbele ya mola wake ambae amemkataza yeye kwa kumuharamishia kijana huyo kwa kucheza kamari.
Mwenye zimungu anasema katika Quran katika suratul maida aya 90
( يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ )
المائدة (90) Al-Maaida
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shetani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
Sasa Allah anatumbia vijana wa kiislam "Basi jiepusheni navyo ili mpate kufanikiwa, sasa wewe kijana wa kiislam acha kabisaa kucheza kamari, kwasababu aliekuumba amekukataza.
KUBET NI HARAMU, MUOGOPE MUNGU WAKO
Nimemaanisha mimi sio mjinga mkuuUjinga wako ni upi?
nimekusomaNimemaanisha mimi sio mjinga mkuu
Hakuna anaekupangia kwa sababu peza ni za kwako na uamuzi ni wa kwako. You are free to choose whatever you like.Kila mtu ana fantasy yake so sitaki kupangiwa kwenye matumizi
Sasa ni nini mnaita watu wajinga ?Hakuna anaekupangia kwa sababu peza ni za kwako na uamuzi ni wa kwako. You are free to choose whatever you like.
Kama haya yote unayajua hebu rudia kupitia thread yako tena kuanzia kichwa hadi kwenye sentensi yako ya mwishoHakuna anaekupangia kwa sababu peza ni za kwako na uamuzi ni wa kwako. You are free to choose whatever you like.
Gambling is an entertainment like as entertainment.![]()
The above Quote shed a light.
Something being legally approved doesn't necessitate it to be the right thing.
You must have to scan it, think, reflect and ponder over it before being pertaken and drowned into it.
Nothing worthwhile of success has ever been easy, Tis solely by persistently working hard and smart whilst enjoying being busy.
Gambling, jackpots and betting is one amongst the titivated devils that which titilate the easy money seekers in vain.
God forbid I may never even tip my fingure on it.