Hivi unamfahamu mtu mjinga kuliko wote? Ona hii

Kama haya yote unayajua hebu rudia kupitia thread yako tena kuanzia kichwa hadi kwenye sentensi yako ya mwisho
Kwani mtu kukuambia kua jambo fulani ni baya ndio amekupangia?
 
Kubet kunahitaji akili kubwa sana. Kufanya uchambuzi wa team zaidi ya buku 2 kwa cku ni akili ya ziada hiyo. Msifikiri kama tatu mzuka unabuni namba tu.

Arsenal akicheza na Chelsea inabd ufahamu adi wachezaji walipolala... Sasa huoni kama naongeza maarifa hapi na bongo inazidi kuwa active.
 
Gambling is an entertainment like as entertainment.
If you may go back take a vigilant glances on my Qoute, You'll verily grab comprehensively what I was trynna mean pal.

Just to tight the tie up, We gotta bear in minds that,
Not every legal is morally sound.

What If you coincidently find your spritual leader in a slots machine houses enjoying that what you so call an entertainment besieged around by nasty half nude chicks[emoji16]

Does William Henry (The Bill himself) gamble?
Tell me about Jack Ma?
What about Jeff Bezos.
Don't forget to mention the grandpa in investment Warren Buffet [emoji2]

Frankly speaking That's amongst of what devours a horde of Black Americans pennies.
Sadly tis widely spred in our cities here.

Be blessed comrade.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…