- Thread starter
- #61
Kwani mtu kukuambia kua jambo fulani ni baya ndio amekupangia?Kama haya yote unayajua hebu rudia kupitia thread yako tena kuanzia kichwa hadi kwenye sentensi yako ya mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mtu kukuambia kua jambo fulani ni baya ndio amekupangia?Kama haya yote unayajua hebu rudia kupitia thread yako tena kuanzia kichwa hadi kwenye sentensi yako ya mwisho
Kubet kunahitaji akili kubwa sana. Kufanya uchambuzi wa team zaidi ya buku 2 kwa cku ni akili ya ziada hiyo. Msifikiri kama tatu mzuka unabuni namba tu.Vijana tumechooooka[emoji22][emoji22] hooi kuliko hata wazee,akili zetu zimegota hazitaki kufikiri tena,...tunawaza utajiri wa haraka bila kuangalia kuwa tunazidi kufubaza bongo zetu na miili yetu kwa ujinga...eeh,mwenyezi Mungu utuhurumie na uturehemu...."vijana tunaangamia kwa kukosa maarifa"[emoji31][emoji31][emoji31]
If you may go back take a vigilant glances on my Qoute, You'll verily grab comprehensively what I was trynna mean pal.Gambling is an entertainment like as entertainment.