Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
M 10 ambayo imeshinda kwenye kubet naifananisha na mchumba aliyenivisha pete wacha niendelee kubet wachumba[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M 10 ambayo imeshinda kwenye kubet naifananisha na mchumba aliyenivisha pete wacha niendelee kubet wachumba[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Uko vizuri mamaM 10 ambayo imeshinda kwenye kubet naifananisha na mchumba aliyenivisha pete wacha niendelee kubet wachumba
Sawa, ila utadumbukiza mara ngapi hizo sh zako kwenye maji? huku ukitegemea kushinda wakati uhalisia ni kua unazidi kumtajirisha muhindi.Mkuu mambo ya bahat nasibu ni sawa na kudumbukiza sh kwenye maji,unaweza ukaipata au usiipate,
Acha ichanike mpaka watakapopata akili wabetijiHalafu mtu anasema kachaniwa mkeka.
Hahaha! Huko utachana mkeka Dada Demis.Bora nibet wachumba na sio ujinga huuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]uhakikaHahaha! Huko utachana mkeka Dada Demis.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Bora nibet wachumba na sio ujinga huuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora hao wajinga wanatafuta pesa lakini kuna wajinga wako CCM hao sitaki hata kusema
Hahaha.Bora hao wajinga wanatafuta pesa lakini kuna wajinga wako CCM hao sitaki hata kusema
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ujinga unazidianaBora hao wajinga wanatafuta pesa lakini kuna wajinga wako CCM hao sitaki hata kusema
🙂🙂🙂 Kweli kabisa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ujinga unazidiana
Ukishakua addicted na hayo mambo husikii la mtu.Ukianza kuBet unapata arosto km vile kubwia unga .Kuacha inahitaji ushauru nasaha.Hiyo ni roho toka kuzimu!
Tutabeti milele daima! Kuna watu wanasomesha watoto kwa hela ya kubeti, kuna watu wamejenga nyumba kwa hela ya kubeti mm nina Altezza nimenunua kwa kubeti kitu kama hukijui ni heri ukae kimya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wivu umekujaa mtoto wa kiume yani unaona watu wakibeti wanafaiiiidi ukiona mtu anabeti analiwa ujue huyo kaanza juziView attachment 682895
Hii nimeikuta mahali nami nikaamua kushare nanyi.
Mjinga ni vibarua Milioni moja wanao changa Tsh. 500 kila siku sawa na 500,000,000/= ambayo ni (Blioni 1.5) kwa mwezi na kumpa bilionea ambaye baadae huwashukuru kwa kumchagua kibarua mmoja na kumpa milioni 10 kama shukrani tena baada ya wiki.
Nadhani wale wakali wa KUBETI wanaweza kulithibitisha hili zaidi yangu.
Kundi kubwa la vijana limeendelea kuwa masikini kwa tamaa ya kupata utajiri wa haraka wakidhani watakuwa miongoni mwa watakaochaguliwa wapewe hiyo M 10.
Hebu mkumbushe Kijana wa Africa kwamba hakuna utajiri wa ghafla.
Ili aondokane na ndoto za kuwa bilionea kwa Kubeti. Mwambie aache kuibiwa kwa faida ya wachache.
Ukiachana na hilo kijana huyu anakuwa pia hajasalimika mbele ya mola wake ambae amemkataza yeye kwa kumuharamishia kijana huyo kwa kucheza kamari.
Mwenye zimungu anasema katika Quran katika suratul maida aya 90
( يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ )
المائدة (90) Al-Maaida
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shetani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
Sasa Allah anatumbia vijana wa kiislam "Basi jiepusheni navyo ili mpate kufanikiwa, sasa wewe kijana wa kiislam acha kabisaa kucheza kamari, kwasababu aliekuumba amekukataza.
KUBET NI HARAMU, MUOGOPE MUNGU WAKO