George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Ahahaaaaaaaaaaah...Alishuswa Sugu aliyeanzisha Hiphop..
Alishushwa TID aliyekuwa nyota hatare..
Ashindikane Diamond..
All in All hakuna anayetaka kumshusha kaona yemwenyewe anashuka anasingizia watu wanataka kumshusha..
Uliitwa kwenye huu uzi au umekuja mwenyewe?!Asee team dimondo give us a break khaa. Ruge ameshawasikia
Kuhusu suala la karanga, it's a matter of time na ukweli usio na shaka utajulikana!Ila pia inawezekana kabisa kupewa pesa kila mwezi kama ilivyo kwake na wengi duniani.. hata kama ... imeshajulikana.. mkataba wa kuwa ni kwa muda gani ndio hapo umuhimu kwa wote..
Ila unakubali Clouds wamekuwa nyuma yake na hata hao mameneja bado wanafanya kazi nao hata kuonekana kama juzi hapa Nairobi na Joseph.
Kuhusu suala la karanga, it's a matter of time na utapata ukweli usio na shaka!
Kuhusu Kusaga... kwanza ifahamike Joseph Kusaga personally is very close to Diamond kuliko hata Ruge alivyo kwa Diamond. Ndo maana wakati mwingine huwa napata shaka sana kuamini kinachoendelea. Na ukaribu wa Kusaga na Diamond ni wa kibiashara na fursa kwa sababu hapa kila mmoja anaifahamu potential ya mwenzake.
Sisemi Clouds hawana mchango kwa Diamond lakini tunaweza kuwachukia akina Tale tupendavyo lakini ukweli ni kwamba Diamond amefika pale kutokana na:-
1. Diamond mwenyewe kwa sababu ni hardworker
2. Tale na Fella wanazifahamu sana fitina za Bongo Flavor na ndio maana hawajawahi kufeli.
3. Sallam nae ni very hardworking and aggressive katika kupata anachokitaka... tatzo lake Jazba
4. Hapa ndipo wanakuja Clouds kwa nyuma kama wadau. Na pia hapa walikuwa wanavuna sana akili za akina Ruge na Joe kuhusu nini cha kufanya.
Lakini kama kuna mtu anaamini Clouds ndio kila kitu na kama sio Clouds Diamond asingefika hapo alipo, waanze kujiuliza kwanini hao Clouds wasifanye walichofanya kwa Diamond kwa wasanii wao?
Kuna Barnaba Classics: One of the best musician in Tanzania... kwanini wanashindwa kumfikisha alipofika Diamond?
Kuna Dogo Ditto>>> Ni nani anaweza kutia shaka juu ya uwezo wa Ditto Tanzania hii?
Hao wawili naamini wana uwezo pengine kuliko Diamond na wote hao wapo kwenye direct "management" ya Ruge. Na ukiacha hao, ukifika pale THT, kuna wasanii kibao tu. Na kuonesha Ruge yupo serious na THT, huwa anawaandikia hadi nyimbo!
Kwanza niseme jambo moja... na hili nilizungumza tangu nilipoleta uzi wa awali kabisa wa post ya Sallam.
Ninachotaka kusema ni kwamba, Sallam needs to act as a man! Kama nilivyosema hapo awali, tatizo la Sallam sio mvumilivu! Ni utoto kama sio ujinga kumjia juu Ruge kwavile tu Ruge aliwaambia SHILAWADU wakashitaki!
Aidha, ni ujinga pia kudai SHILAWADU walienda kwa Mose kama namna ya kutaka kumshusha Diamond kwa sababu, umbeya ndio unawaweka mjini SHILAWADU na hii wala sio mara ya kwanza SHILAWADU kum-target Diamond Platnumz binafsi let alone Dancer wake!!
Hofu yangu ni kwamba, huenda Sallam ame-panic kuona promo za Aslay! Lakini kwa wanaowafahamu Clouds, hivi ndivyo wanavyofanya wanapokuwa na project na msanii fulani! Kama tunakumbuka, walim-promote sana Ali Kiba na Seduce Me yake kwa ajili ya Fiesta hadi wengine wakafikia kuongea kama tunayoongea sasa kwamba wanam-promote sana Kiba ili kumdondosha Diamond!
Project iliyopo mbele ya Clouds hivi sasa ni ya Nandy na Aslya, mosi kwa ajili ya Valentine na pili, kwa ajili ya Show itakayofanyika Escape I hapo February 17.
Now back to the topic.... hivi hao Clouds wanamshushaje shushaje Diamond Platnumz?!
Asilimia kubwa ya Wana-Bongo Flavor, wanakodolea sana macho Fiesta na ndio maana inapofika karibu na Fiesta, wasanii wengi wanaachia ngoma mpya ili kutega Fiesta (Puuzeni wanaosema Fiesta wanalipa 500K... kwa majority ya wasanii, Fiesta ni msimu wa mavuno).
Lakini wakati wengine huwa wanaitolea macho Fiesta, Diamond Platnumz sio mtu wa Fiesta tena! Sio mtu wa After School Bash! Sio mtu wa majority of the shows zinazoandaliwa hapa Tanzania!
That said, huwezi kumtisha Diamond kwa Fiesta!!!
Wengi wanataja power ya media... ni kweli kabisa na hapa nishasema sana hili! Hata hivyo, hiyo power ya media inategemea! Diamond leo hii anaweza kuishi raha mustarehe kwa kutegemea mashabiki wa Kenya peke yake ambako Clouds wala haifiki!
Tena hawa mashabiki wa Kenya, kv Wakenya wengi pia wapo ughaibuni, ndio wanunuzi wakubwa wa muziki online kuliko Watanzania!
Diamond leo hii ngoma zake zinapigwa throughout East & Central Africa na wala sio kwamba hizo nyimbo wanazipata kutokea Clouds.
Dakika kadhaa zilizopita nimeweka habari za uzushi zilizoripotiwa huko Ghana kwamba Diamond amefariki kwa ajali ya gari. Ukiangalia Waghana walivyo more concerned huko Twitter, ndipo utakapojua nguvu aliyonayo Diamond barani Afrika!
So, ili kumshusha Diamond unatakiwa kuwa na misuli ya kupiga fitina sio tu Tanzania bali Afrika Mashariki Yote especially Kenya & Rwanda and the rest of Afrika!!
Utakapojua nguvu ya Diamond, kwa kawaida huwa anaachia video Youtube usiku hata kabla hajafanya media tours! Na hadi anafanya tour, mara nyingi anakuwa tayari keshavuna Views zaidi ya 1 Million!!
Hiyo maana yake ni kwamba, tayari ana angalau Fans 1 Million ambao wala hawana muda wa kusubiria radio au tv ya mwananchi yeyote toka popote pale duniani!!
Sasa unapiga vipi fitina kwa wote hao?!
So, ingawaje media zina uwezo wa kumshusha msanii lakini kwa Diamond is kinda too late! Wanaweza tu kumtikisa lakini sio kumdondosha!
NOTE: Kama kuna msanii yeyote humu JF, please, don't be blinded by this post... hapa ni Diamond lakini kwa wewe, utadondoshwa tu kwa sababu huna base yoyote ya maana ya kuweza kushindana na watu kama Clouds!!!
Halafu nasikia Diamond kipindi anahustle jinsi ya kutoka alipita THT akawa rejected na kina Ruge[emoji1] [emoji1] , napata mashaka na uwezo wao wa kutambua vipajiKuhusu suala la karanga, it's a matter of time na utapata ukweli usio na shaka!
Kuhusu Kusaga... kwanza ifahamike Joseph Kusaga personally is very close to Diamond kuliko hata Ruge alivyo kwa Diamond. Ndo maana wakati mwingine huwa napata shaka sana kuamini kinachoendelea. Na ukaribu wa Kusaga na Diamond ni wa kibiashara na fursa kwa sababu hapa kila mmoja anaifahamu potential ya mwenzake.
Sisemi Clouds hawana mchango kwa Diamond lakini tunaweza kuwachukia akina Tale tupendavyo lakini ukweli ni kwamba Diamond amefika pale kutokana na:-
1. Diamond mwenyewe kwa sababu ni hardworker
2. Tale na Fella wanazifahamu sana fitina za Bongo Flavor na ndio maana hawajawahi kufeli.
3. Sallam nae ni very hardworking and aggressive katika kupata anachokitaka... tatzo lake Jazba
4. Hapa ndipo wanakuja Clouds kwa nyuma kama wadau. Na pia hapa walikuwa wanavuna sana akili za akina Ruge na Joe kuhusu nini cha kufanya.
Lakini kama kuna mtu anaamini Clouds ndio kila kitu na kama sio Clouds Diamond asingefika hapo alipo, waanze kujiuliza kwanini hao Clouds wasifanye walichofanya kwa Diamond kwa wasanii wao?
Kuna Barnaba Classics: One of the best musician in Tanzania... kwanini wanashindwa kumfikisha alipofika Diamond?
Kuna Dogo Ditto>>> Ni nani anaweza kutia shaka juu ya uwezo wa Ditto Tanzania hii?
Hao wawili naamini wana uwezo pengine kuliko Diamond na wote hao wapo kwenye direct "management" ya Ruge. Na ukiacha hao, ukifika pale THT, kuna wasanii kibao tu. Na kuonesha Ruge yupo serious na THT, huwa anawaandikia hadi nyimbo!
Hiyo ni TRUE... walimtosa pale!Halafu nasikia Diamond kipindi anahustle jinsi ya kutoka alipita THT akawa rejected na kina Ruge[emoji1] [emoji1] , napata mashaka na uwezo wao wa kutambua vipaji
Ni kwamba, Barnaba hana celebrity touch ambayo ni muhimu sana kwenye entertainment industry!Diamond ana super star swaga ambazo kina barnaba hawana.. ndio maana ruge anapagawa...
Diamond mbagala tu swaga zake kama katoboa vile kumbe ndio anaaza... kwenye mbagala romy jones ndie amekuwa kama aliyempora diamond mke kwenye video yaani wana swaga...
barnaba anachojua ni kuimba tu ila hana swaga
Sijui kama unafuatilia mziki au unaongozwa na uteam...hivi sugu na t.i.d unaweza kuwafananisha na nguvu aliyonayo diamond?sugu au t.id anaweza kufunga mtaani hata kenya hapo au kariakoo pale??dogo acha chuki tembea na factsAlishuswa Sugu aliyeanzisha Hiphop..
Alishushwa TID aliyekuwa nyota hatare..
Ashindikane Diamond..
All in All hakuna anayetaka kumshusha kaona yemwenyewe anashuka anasingizia watu wanataka kumshusha..
Diamond kawapita akili na management nzuri...sio kuimba...na waambia kila siku watu kwamba mtu mnayemfananisha na diamond lzm awe na akili kwanza achana na kipaji chakeKuhusu suala la karanga, it's a matter of time na utapata ukweli usio na shaka!
Kuhusu Kusaga... kwanza ifahamike Joseph Kusaga personally is very close to Diamond kuliko hata Ruge alivyo kwa Diamond. Ndo maana wakati mwingine huwa napata shaka sana kuamini kinachoendelea. Na ukaribu wa Kusaga na Diamond ni wa kibiashara na fursa kwa sababu hapa kila mmoja anaifahamu potential ya mwenzake.
Sisemi Clouds hawana mchango kwa Diamond lakini tunaweza kuwachukia akina Tale tupendavyo lakini ukweli ni kwamba Diamond amefika pale kutokana na:-
1. Diamond mwenyewe kwa sababu ni hardworker
2. Tale na Fella wanazifahamu sana fitina za Bongo Flavor na ndio maana hawajawahi kufeli.
3. Sallam nae ni very hardworking and aggressive katika kupata anachokitaka... tatzo lake Jazba
4. Hapa ndipo wanakuja Clouds kwa nyuma kama wadau. Na pia hapa walikuwa wanavuna sana akili za akina Ruge na Joe kuhusu nini cha kufanya.
Lakini kama kuna mtu anaamini Clouds ndio kila kitu na kama sio Clouds Diamond asingefika hapo alipo, waanze kujiuliza kwanini hao Clouds wasifanye walichofanya kwa Diamond kwa wasanii wao?
Kuna Barnaba Classics: One of the best musician in Tanzania... kwanini wanashindwa kumfikisha alipofika Diamond?
Kuna Dogo Ditto>>> Ni nani anaweza kutia shaka juu ya uwezo wa Ditto Tanzania hii?
Hao wawili naamini wana uwezo pengine kuliko Diamond na wote hao wapo kwenye direct "management" ya Ruge. Na ukiacha hao, ukifika pale THT, kuna wasanii kibao tu. Na kuonesha Ruge yupo serious na THT, huwa anawaandikia hadi nyimbo!
Kua na wanawake wengi ni ishara ya mwanaume mwenye pesa nyingi ovaDiamond kwa upande mwingine anapoteza fans kwa tabia yake ya kuwa na wanawake mbalimbali.. anashangaza kutokujua kujiendesha kimaisha hata kama ndio anapenda kuwa na wanawake kila siku. Halafu anafata walio na majina ambao hawamuongezei kipato.. badala hata ya kujipatia wanawake walio wa kawaida sana.. na kuyafanya kimya kimya.
Umeeleweka kwa shida shida hivyo hivyoDiamond ni internacional kumuangusha watasubiri saña
Kua na wanawake wengi ni ishara ya mwanaume mwenye pesa nyingi ova
Unataka uchume peke yako mungu hapendiAtajiju
Sitaki hata wanangu wa kiume wajue yake ya uhuni huo.. ni mfano mbaya
Unataka uchume peke yako mungu hapendi
Hlf nyie wanawake ndo mnahasira sana na Diamond kuwa na wanawake wengi. Mnasahau wanaume wengi ni polygamous kiasili, Diamond atakuwa anawanawake wengi zaidi ya wanaofichuka na sidhan kama anataka ijulikane hivyo but wao wanawake ndo wanataka kujulikana wametoka naye. Kingine kama Zari ataendelea kuishi mbali na mmewe basi Mondi sidhan kama ataweza kuvaa boxer ya chuma. Cheki mfn Harmonize mzungu wake kamganda hapati ata nafasi ya kuchepukaDiamond kwa upande mwingine anapoteza fans kwa tabia yake ya kuwa na wanawake mbalimbali.. anashangaza kutokujua kujiendesha kimaisha hata kama ndio anapenda kuwa na wanawake kila siku. Halafu anafata walio na majina ambao hawamuongezei kipato.. badala hata ya kujipatia wanawake walio wa kawaida sana.. na kuyafanya kimya kimya.