PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Diamond kwa upande mwingine anapoteza fans kwa tabia yake ya kuwa na wanawake mbalimbali.. anashangaza kutokujua kujiendesha kimaisha hata kama ndio anapenda kuwa na wanawake kila siku. Halafu anafata walio na majina ambao hawamuongezei kipato.. badala hata ya kujipatia wanawake walio wa kawaida sana.. na kuyafanya kimya kimya.
Sasa wanawake wa kawaida ndio wanaongea kipato? By the way, hata Bob Marley alikuwa na wanawake lukuki lakini tunasikiliza muziki wake mpaka leo.