cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Hlf nyie wanawake ndo mnahasira sana na Diamond kuwa na wanawake wengi. Mnasahau wanaume wengi ni polygamous kiasili, Diamond atakuwa anawanawake wengi zaidi ya wanaofichuka na sidhan kama anataka ijulikane hivyo but wao wanawake ndo wanataka kujulikana wametoka naye. Kingine kama Zari ataendelea kuishi mbali na mmewe basi Mondi sidhan kama ataweza kuvaa boxer ya chuma. Cheki mfn Harmonize mzungu wake kamganda hapati ata nafasi ya kuchepuka
Kuna watu wengi tu hawasikilizi Clouds na muda mwingi hushinda kwenye mitandao na ni mashabiki wazuri sana wa muziki. Kwa sasa nafasi ya kituo cha redio kumshusha mwanamziki mkubwa kama Diamond kibiashara ni negligible.Kwanza niseme jambo moja... na hili nilizungumza tangu nilipoleta uzi wa awali kabisa wa post ya Sallam.
Ninachotaka kusema ni kwamba, Sallam needs to act as a man! Kama nilivyosema hapo awali, tatizo la Sallam sio mvumilivu! Ni utoto kama sio ujinga kumjia juu Ruge kwavile tu Ruge aliwaambia SHILAWADU wakashitaki!
Aidha, ni ujinga pia kudai SHILAWADU walienda kwa Mose kama namna ya kutaka kumshusha Diamond kwa sababu, umbeya ndio unawaweka mjini SHILAWADU na hii wala sio mara ya kwanza SHILAWADU kum-target Diamond Platnumz binafsi let alone Dancer wake!!
Hofu yangu ni kwamba, huenda Sallam ame-panic kuona promo za Aslay! Lakini kwa wanaowafahamu Clouds, hivi ndivyo wanavyofanya wanapokuwa na project na msanii fulani! Kama tunakumbuka, walim-promote sana Ali Kiba na Seduce Me yake kwa ajili ya Fiesta hadi wengine wakafikia kuongea kama tunayoongea sasa kwamba wanam-promote sana Kiba ili kumdondosha Diamond!
Project iliyopo mbele ya Clouds hivi sasa ni ya Nandy na Aslya, mosi kwa ajili ya Valentine na pili, kwa ajili ya Show itakayofanyika Escape I hapo February 17.
Now back to the topic.... hivi hao Clouds wanamshushaje shushaje Diamond Platnumz?!
Asilimia kubwa ya Wana-Bongo Flavor, wanakodolea sana macho Fiesta na ndio maana inapofika karibu na Fiesta, wasanii wengi wanaachia ngoma mpya ili kutega Fiesta (Puuzeni wanaosema Fiesta wanalipa 500K... kwa majority ya wasanii, Fiesta ni msimu wa mavuno).
Lakini wakati wengine huwa wanaitolea macho Fiesta, Diamond Platnumz sio mtu wa Fiesta tena! Sio mtu wa After School Bash! Sio mtu wa majority of the shows zinazoandaliwa hapa Tanzania!
That said, huwezi kumtisha Diamond kwa Fiesta!!!
Wengi wanataja power ya media... ni kweli kabisa na hapa nishasema sana hili! Hata hivyo, hiyo power ya media inategemea! Diamond leo hii anaweza kuishi raha mustarehe kwa kutegemea mashabiki wa Kenya peke yake ambako Clouds wala haifiki!
Tena hawa mashabiki wa Kenya, kv Wakenya wengi pia wapo ughaibuni, ndio wanunuzi wakubwa wa muziki online kuliko Watanzania!
Diamond leo hii ngoma zake zinapigwa throughout East & Central Africa na wala sio kwamba hizo nyimbo wanazipata kutokea Clouds.
Dakika kadhaa zilizopita nimeweka habari za uzushi zilizoripotiwa huko Ghana kwamba Diamond amefariki kwa ajali ya gari. Ukiangalia Waghana walivyo more concerned huko Twitter, ndipo utakapojua nguvu aliyonayo Diamond barani Afrika!
So, ili kumshusha Diamond unatakiwa kuwa na misuli ya kupiga fitina sio tu Tanzania bali Afrika Mashariki Yote especially Kenya & Rwanda and the rest of Afrika!!
Utakapojua nguvu ya Diamond, kwa kawaida huwa anaachia video Youtube usiku hata kabla hajafanya media tours! Na hadi anafanya tour, mara nyingi anakuwa tayari keshavuna Views zaidi ya 1 Million!!
Hiyo maana yake ni kwamba, tayari ana angalau Fans 1 Million ambao wala hawana muda wa kusubiria radio au tv ya mwananchi yeyote toka popote pale duniani!!
Sasa unapiga vipi fitina kwa wote hao?!
So, ingawaje media zina uwezo wa kumshusha msanii lakini kwa Diamond is kinda too late! Wanaweza tu kumtikisa lakini sio kumdondosha!
NOTE: Kama kuna msanii yeyote humu JF, please, don't be blinded by this post... hapa ni Diamond lakini kwa wewe, utadondoshwa tu kwa sababu huna base yoyote ya maana ya kuweza kushindana na watu kama Clouds!!!
Hahaa, km BSS ilivyomwambia Harmonize kuwa hana kipaji afu wakampiga chiniHalafu nasikia Diamond kipindi anahustle jinsi ya kutoka alipita THT akawa rejected na kina Ruge[emoji1] [emoji1] , napata mashaka na uwezo wao wa kutambua vipaji
Kua star hakumpunguzii yeye kua mwanadam hapo kazaa angekataa mimba hizo mngesemaje na kabla ya kumunyooshea kidole ushajiona mwema??? An kuhusu zari nahis kuna jambo anamis kama mwanamke kamaili anashindwaje kumtuliza kijanaEeeeh
Kuchuma nini peke yangu!? Mimi hapana elewa wewe... Ni mfano mubaya kuwa anafanya kazi kwa bidii.. vizuri.. ila hajui kujiheshimu ikija kwa wanawake.. mfano mubaya kwa watoto wake pia.
Mtu alichekwa hazai wanatoa mimba zake.. akaja pata a lady akamfuta machozi... hakusubiri hata miaka ipite huyo anamcheat na kuzaa na wanawake wengine.. likazae hata mia.. ila hawezi kufuta kwamba Zari alimvusha daraja kuwa alipo now hata kimataifa kwa yote na family yake wakabadilika na fikra. Sister na Mama ake walajua kuwa kunakujipenda na kuwa smart etc... likae hukoooooo.. nyimbo my boys wakikumbna nae youtube watamsikiliza wenyewe.
chige
Mbosso tumempokea lakini hana kipaji kabisa, hawezi simama kabisa kwa Asley, hata kwa Beka anasubiri. a.
kwani kipimo cha kipaji cha mboso ni aslay? why ujio wake mnauusisha na aslay au mlitaka uyu dogo asiimbe aendelee kulima yeye akiimba anampunguzia nn aslay wakat kila mtu na rizk yake...ok unasema mbosso hana kipaj ila unasisitiza mtu asie na kipaji uwez kosa ucngz kwa ajili yake ukiona unapagawa ujue umeona kitu ndan yake
Jana hata Sam misago aliweka mada kuptia Friday night live kwamba je msanii anaweza kuwa mkubwa kuliko media kwa statistics kubwa ya wachangiaj walisema haiwezekan msanii kuwa mkubwa bila media na ni kwel maana media ndo ilyokutoa na kukupeleka kwa fans ulionao sasa....kikubwa wasaf waweke mambo sawa clouds na eatv kama kuna any misunderstandingAlishuswa Sugu aliyeanzisha Hiphop..
Alishushwa TID aliyekuwa nyota hatare..
Ashindikane Diamond..
All in All hakuna anayetaka kumshusha kaona yemwenyewe anashuka anasingizia watu wanataka kumshusha..
Ahahaaaaaaaaaaah...chige nakuelewa sana, hii ni mara ya pili nakuwa kwenye discussion ambayo upo, una jinsi unavyofikisha taarifa kwa ufafanuzi mzuri.
Umekiri kwamba Mbosso anatangazwa sana kupita mwana WCB yeyote, ni kweli hii kitu nimeiona nikawaza kwamba WCB (especially Mkubwa Fela) watakuwa walifanya fitna za Asley asipewe promo kama ambavyo imekuwa kwa yeyote anayegombana na Fela, sasa Clouds wakagoma, kwa hiyo ili ku-counter inabidi waje na kumpromote Mbosso ili alete upinzani.
Mbosso tumempokea lakini hana kipaji kabisa, hawezi simama kabisa kwa Asley, hata kwa Beka anasubiri. Sasa baada ya kuona hili zoezi linaonekana kutumia gharama kubwa zaidi ya majibu nadhani ndo hapo Sallam kapanic, anaandika jumbe za kijinga jinga.
Ahahaaaaaaaaaaah...
Mbosso hana kipaji kabisa..!?
Seriously..!?
Hata Aslay na Beka wakiona comment yako watacheka sana..!
Mawazo yako yanashangaza kiasi..!Mawazo yangu siyo sheria mkuu.
cocochanel: you are a great thinker! i appreciate your comment, nami nilikuwa fans mkubwa wa diamond ila hii tabia ya kubadilisha/kutotulia kuna ule ufans unapungua kidogo kwakwe.Diamond kwa upande mwingine anapoteza fans kwa tabia yake ya kuwa na wanawake mbalimbali.. anashangaza kutokujua kujiendesha kimaisha hata kama ndio anapenda kuwa na wanawake kila siku. Halafu anafata walio na majina ambao hawamuongezei kipato.. badala hata ya kujipatia wanawake walio wa kawaida sana.. na kuyafanya kimya kimya.
Diamond is above the talk, unstoppable!Kwanza niseme jambo moja... na hili nilizungumza tangu nilipoleta uzi wa awali kabisa wa post ya Sallam.
Ninachotaka kusema ni kwamba, Sallam needs to act as a man! Kama nilivyosema hapo awali, tatizo la Sallam sio mvumilivu! Ni utoto kama sio ujinga kumjia juu Ruge kwavile tu Ruge aliwaambia SHILAWADU wakashitaki!
Aidha, ni ujinga pia kudai SHILAWADU walienda kwa Mose kama namna ya kutaka kumshusha Diamond kwa sababu, umbeya ndio unawaweka mjini SHILAWADU na hii wala sio mara ya kwanza SHILAWADU kum-target Diamond Platnumz binafsi let alone Dancer wake!!
Hofu yangu ni kwamba, huenda Sallam ame-panic kuona promo za Aslay! Lakini kwa wanaowafahamu Clouds, hivi ndivyo wanavyofanya wanapokuwa na project na msanii fulani! Kama tunakumbuka, walim-promote sana Ali Kiba na Seduce Me yake kwa ajili ya Fiesta hadi wengine wakafikia kuongea kama tunayoongea sasa kwamba wanam-promote sana Kiba ili kumdondosha Diamond!
Project iliyopo mbele ya Clouds hivi sasa ni ya Nandy na Aslya, mosi kwa ajili ya Valentine na pili, kwa ajili ya Show itakayofanyika Escape I hapo February 17.
Now back to the topic.... hivi hao Clouds wanamshushaje shushaje Diamond Platnumz?!
Asilimia kubwa ya Wana-Bongo Flavor, wanakodolea sana macho Fiesta na ndio maana inapofika karibu na Fiesta, wasanii wengi wanaachia ngoma mpya ili kutega Fiesta (Puuzeni wanaosema Fiesta wanalipa 500K... kwa majority ya wasanii, Fiesta ni msimu wa mavuno).
Lakini wakati wengine huwa wanaitolea macho Fiesta, Diamond Platnumz sio mtu wa Fiesta tena! Sio mtu wa After School Bash! Sio mtu wa majority of the shows zinazoandaliwa hapa Tanzania!
That said, huwezi kumtisha Diamond kwa Fiesta!!!
Wengi wanataja power ya media... ni kweli kabisa na hapa nishasema sana hili! Hata hivyo, hiyo power ya media inategemea! Diamond leo hii anaweza kuishi raha mustarehe kwa kutegemea mashabiki wa Kenya peke yake ambako Clouds wala haifiki!
Tena hawa mashabiki wa Kenya, kv Wakenya wengi pia wapo ughaibuni, ndio wanunuzi wakubwa wa muziki online kuliko Watanzania!
Diamond leo hii ngoma zake zinapigwa throughout East & Central Africa na wala sio kwamba hizo nyimbo wanazipata kutokea Clouds.
Dakika kadhaa zilizopita nimeweka habari za uzushi zilizoripotiwa huko Ghana kwamba Diamond amefariki kwa ajali ya gari. Ukiangalia Waghana walivyo more concerned huko Twitter, ndipo utakapojua nguvu aliyonayo Diamond barani Afrika!
So, ili kumshusha Diamond unatakiwa kuwa na misuli ya kupiga fitina sio tu Tanzania bali Afrika Mashariki Yote especially Kenya & Rwanda and the rest of Afrika!!
Utakapojua nguvu ya Diamond, kwa kawaida huwa anaachia video Youtube usiku hata kabla hajafanya media tours! Na hadi anafanya tour, mara nyingi anakuwa tayari keshavuna Views zaidi ya 1 Million!!
Hiyo maana yake ni kwamba, tayari ana angalau Fans 1 Million ambao wala hawana muda wa kusubiria radio au tv ya mwananchi yeyote toka popote pale duniani!!
Sasa unapiga vipi fitina kwa wote hao?!
So, ingawaje media zina uwezo wa kumshusha msanii lakini kwa Diamond is kinda too late! Wanaweza tu kumtikisa lakini sio kumdondosha!
NOTE: Kama kuna msanii yeyote humu JF, please, don't be blinded by this post... hapa ni Diamond lakini kwa wewe, utadondoshwa tu kwa sababu huna base yoyote ya maana ya kuweza kushindana na watu kama Clouds!!!
Diamond anapoteza fans? Mbona mnachekesha, mwenzenu anafungua mlango wa soko la amerika na ulaya huku nyinyi mnajitekenya!Diamond kwa upande mwingine anapoteza fans kwa tabia yake ya kuwa na wanawake mbalimbali.. anashangaza kutokujua kujiendesha kimaisha hata kama ndio anapenda kuwa na wanawake kila siku. Halafu anafata walio na majina ambao hawamuongezei kipato.. badala hata ya kujipatia wanawake walio wa kawaida sana.. na kuyafanya kimya kimya.
Mawazo yako yanashangaza kiasi..!
ao wanawake wake na mziki wake wapi na wapi?Diamond kwa upande mwingine anapoteza fans kwa tabia yake ya kuwa na wanawake mbalimbali.. anashangaza kutokujua kujiendesha kimaisha hata kama ndio anapenda kuwa na wanawake kila siku. Halafu anafata walio na majina ambao hawamuongezei kipato.. badala hata ya kujipatia wanawake walio wa kawaida sana.. na kuyafanya kimya kimya.
Diamond anapoteza fans? Mbona mnachekesha, mwenzenu anafungua mlango wa soko la amerika na ulaya huku nyinyi mnajitekenya!
ao wanawake wake na mziki wake wapi na wapi?
Kijana anajua kujieleza...Kuanzia dakika ya 26:50 anazungumzia kuhusu kubaniwa nyimbo zake na media.