Diamond kwa upande mwingine anapoteza fans kwa tabia yake ya kuwa na wanawake mbalimbali.. anashangaza kutokujua kujiendesha kimaisha hata kama ndio anapenda kuwa na wanawake kila siku. Halafu anafata walio na majina ambao hawamuongezei kipato.. badala hata ya kujipatia wanawake walio wa kawaida sana.. na kuyafanya kimya kimya.
Dogo kama ameandaliwa kuubeba umaarufu na ndio maana interview zake anajitahidi kuzitendea haki maana watu wengi wakiwa maarufu huwa wanashindwa kuendana nao, kuanzia dakika 23 amejibu vizuri swali flani hiviKijana anajua kujieleza...
Ila wasafi tv na wasafi radio ni kama kavitaja kwa wasiwasi fulani hivi..!
Ila yote kwa yote,kumshusha huyu kijana na WCB yake si kazi rahisi..!
Na kaenda kuzindua album kule kule ambako nyimbo zinanunuliwa!Wengi wanataja power ya media... ni kweli kabisa na hapa nishasema sana hili! Hata hivyo, hiyo power ya media inategemea! Diamond leo hii anaweza kuishi raha mustarehe kwa kutegemea mashabiki wa Kenya peke yake ambako Clouds wala haifiki!
Tena hawa mashabiki wa Kenya, kv Wakenya wengi pia wapo ughaibuni, ndio wanunuzi wakubwa wa muziki online kuliko Watanzania!
AaahZamani nyuzi ka hii ya kumhusu mondi ilikua inakula page kibao kwa wachangiaji sikuhizi giza tupu kuna kitu hakijakaa sawa
Acha kuishi kwa kukaririAlishuswa Sugu aliyeanzisha Hiphop..
Alishushwa TID aliyekuwa nyota hatare..
Ashindikane Diamond..
All in All hakuna anayetaka kumshusha kaona yemwenyewe anashuka anasingizia watu wanataka kumshusha..