Jamani mimi huwa naona kama vile hiyo mama anastahili mama yako mzazi au mama yeyeto rika na mama yako ila sio kwa mkeo.
Haileti maana,kwa mtazamo wangu tu.
Naipenda ya kizaramu, mume wangu kila mara mume wangu yaani hili neno halinitoki nikiwa nae karibu. nikiwa faragha ndio usiseme hapo kidogo unaweza fanya re mix