Hivi unamwitaje mumeo/mkeo?

Hivi unamwitaje mumeo/mkeo?

Mimi namuita mama

Jamani mimi huwa naona kama vile hiyo mama anastahili mama yako mzazi au mama yeyeto rika na mama yako ila sio kwa mkeo.
Haileti maana,kwa mtazamo wangu tu.
 
Naipenda ya kizaramu, mume wangu kila mara mume wangu yaani hili neno halinitoki nikiwa nae karibu. nikiwa faragha ndio usiseme hapo kidogo unaweza fanya re mix
 
La aziz, mahbooba, napenda wizi wa aina hii mpenzi wangu yaani majina yooote ya kiswahiliswahili
 
Back
Top Bottom