Hivi unaoaje mwanamke mlevi?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Wanaume wenzangu hivi unaoaje mwanamke mlevi kwa mfano?

Aisee unaanzia kuoa mwanamke mlevi duh so sad

Home niliona baba alikuwa akiingia jumamosi anakuja na bia mbili ndio anampa mama

Sasa najiuliza Hawa wanawake wa sasa wanawezaje kukaa viti vilefu halafu wananyeshwa bia mpaka kumi halafu wameolewa

Binafsi mwamke mlevi hata kumgonga tu Kama amelewa siwezi!!!
 
Mkuu usiogope ukimaliza na walevi utaanza na kuwakandia wanawake waliosoma, wenye kazi zao, waliokwisha jipata hizo ni dalili za uoga na kutojiamini
Umewahi kudate na mwanamke mlevi?

Kwanza kama huna pumzi usijaribu vivyo hivyo kwenye ndoa akishagonga vitu ni show show kwa kwenda mbele au unataka kusema atalewa kila wakati ashindwe hata kukupikia?

Mbna kina manka kibao wanadrive na kuhandle familia zao na muda huo huo wanagonga gambe kama kawaida.
 
Mzee wangu nyoka kibisa..

Umeeleza vyema kabisa wanapiga gambe na Wana drive safe nimeshuhudia Hilo.
 
Sasa kumgonga mwanamke aliye lewa hauwezi?
Labda utakuwa na tatizo mkuu.
Mimi nikiona mwanamke amelewa napata nyege mara mia.
Japo mimi si mnywaji ila mwanamke mla vyombo kwa habari za kumkaza tu naona inanoga sana.
 
Hii reply yako inathibitisha kuwa mwanamke mlevi ni malaya pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…