Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Mama yako naye alikuwa mlevi .... Ni vile tu aliamua kupumzika ulevi .. ila alikutwa baani na baba yako na walikuwa wanalewa mnoooo.Wanaume wenzangu hivi unaoaje mwanamke mlevi kwa mfano?
Aisee unaanzia kuoa mwanamke mlevi duh so sad
Home niliona baba alikuwa akiingia jumamosi anakuja na bia mbili ndio anampa mama
Sasa najiuliza Hawa wanawake wa sasa wanawezaje kukaa viti vilefu halafu wananyeshwa bia mpaka kumi halafu wameolewa
Binafsi mwamke mlevi hata kumgonga tu Kama amelewa siwezi!!!