Hivi unaoaje mwanamke mlevi?

Hivi unaoaje mwanamke mlevi?

Wanaume wenzangu hivi unaoaje mwanamke mlevi kwa mfano?

Aisee unaanzia kuoa mwanamke mlevi duh so sad

Home niliona baba alikuwa akiingia jumamosi anakuja na bia mbili ndio anampa mama

Sasa najiuliza Hawa wanawake wa sasa wanawezaje kukaa viti vilefu halafu wananyeshwa bia mpaka kumi halafu wameolewa

Binafsi mwamke mlevi hata kumgonga tu Kama amelewa siwezi!!!
Mama yako naye alikuwa mlevi .... Ni vile tu aliamua kupumzika ulevi .. ila alikutwa baani na baba yako na walikuwa wanalewa mnoooo.
 
Huwa najiuliza kwann wanawake wengi hawapendi mume mlevi?
 
Wanaume wenzangu hivi unaoaje mwanamke mlevi kwa mfano?

Aisee unaanzia kuoa mwanamke mlevi duh so sad

Home niliona baba alikuwa akiingia jumamosi anakuja na bia mbili ndio anampa mama

Sasa najiuliza Hawa wanawake wa sasa wanawezaje kukaa viti vilefu halafu wananyeshwa bia mpaka kumi halafu wameolewa

Binafsi mwamke mlevi hata kumgonga tu Kama amelewa siwezi!!!
Kwakuwa ww hunywi ni Raha sana kuoa mwanamke anayekunywa na ww unakunywa
 
Back
Top Bottom