Hivi unaoaje mwanamke mlevi?

Ila wananyegeka vizuri sio poa...na wakishanyegeka balaa lake sio poa!

Asiwe mlevi, awe mnywaji tu wa kawaida, sio kila siku kunywa tu, ila once once hivyo!
 
Bora mlevi kuliko mvuta fegi.
 
Wale wanawake walevi wanaokesha bar na kwenye kumbi za starehe hadi saa 8 usiku, Wanafaa kutmbwa tu na sio kuolewa ,ukioa kubali kugongewa anytime kwanza huwa wanarundo la masela eti marafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…