Hivi unapima mtoto 'DNA' ili iweje?

Mtoto ana haki ya kumjua baba yake
 
Halijakukuta Bado...the man is right..unapokuwa na mashaka na mtoto Sio dhambi kuthibitisha Hilo...wengi wamekufa kwa presha baada ya kuwalea watoto ambao walijua Ni wao..na mwsho wa siku walipopata kazi Mama zao wakaawambia ukweli...kuwa Sio biological father..
 
Sasa hapo mwenye shida ni nan mkuu
 
hakusikiljze wewe nani maamuzi ni yake sio lazoma
 
Yaani mwanamke afanye maupumbavu yake huko na wapumbavu wenzake apate mimba then akutwishe mizigo wew usiyehusika kwa kukudanganya kuhusu mimba na uanze, kulea kitu kisicho chako inamake sense kweli?

Acha kupotosha watu, hilo suala halikubaliki kabisa mahala popote iwe kidini, kichawi sijui kishirikina na kisayansi halipo acha watu waendelee kupima DNA wanawake wamewachezea sana wanaume kwa kuwakabidhisha wanaume mizigo isiyo yao na mitoto isiyo ya damu zao matokeo yake mitoto hiyo ikikuwa inawatafuta baba zao OG uku ikiwakana baba waliowalea.

Huu upuuzi ufike mwisho sasa.
 
Pole mkuu hauko Peke yako,naona unavyojitekenya na kucheka mwenyewe,anyway ukihisi mtoto sio wako kuna asilimia mia ikawa kweli.c'est la vie
 
Mi mwanamke akiniambia mimi ndio baba wa mtoto siwez kubisha nitalea tu
Na akitokea mwanaume mwingine akadai ni wake na akakupeleka kwenye mamlaka anataka damu yake, hautakubali kupima?
 
watu kama wewe ikikutokea mke ametoka huko na washenzi wake kisha akazaa mtoto, ukajua, utamuua.

Kupima mtoto kama una mashaka si dhambi wala kosa. kama ana mashaka mwache akapime kuepuka vurugu zinazoweza zikajitokeza baadaye. Fikiria baada ya muda wakihitilafiana na mkewe kisha mkewe amwambie kuwa hata huyu mtoto si wako! unadhani nini kitatokea? au baada baba halisi wa mtoto atokee?
 
Wewe unamjua baba yako halisi?
Na je utatamani siku ukiambiwa sio yeye kumjua huyo utakeambiwai ni halisi?
Ndiyo namjua.! Tumefanana kama nyanya, DNA pia ilishapimwa mbali na hivyo. Huenda wewe ndiyo ukawa humjui baba yako.
 
Naunga mkono hoja[emoji1666]
 
Mwanamke akasema mtoto ni wangu nikajitoa kwake akija mjinga mwingne akisema ni wake ata kma kweli ni wake sitamwelewa ata kidgo ,wanadamu wote ni ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…