Hivi unapokua na mahusiano na mwanamke,halafu ghafla akaanza kukuita daddy, anakua na maana gani?

Hivi unapokua na mahusiano na mwanamke,halafu ghafla akaanza kukuita daddy, anakua na maana gani?

Habari za uzima wakuu?
Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano,naona ghafla kaanza kuniita daddy.
Hii ina maana gani?
Sorry mkuu umesema upo nae kwenye mahusiano. Hebu tufahamishe mahusiano yenu yanahusiana na nini ili tukushauri accodinly!
 
Back
Top Bottom