Hivi unapokua na mahusiano na mwanamke,halafu ghafla akaanza kukuita daddy, anakua na maana gani?

Hivi unapokua na mahusiano na mwanamke,halafu ghafla akaanza kukuita daddy, anakua na maana gani?

Habari za uzima wakuu?
Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano,naona ghafla kaanza kuniita daddy.
Hii ina maana gani?
Mbona kawaida tu mwamba! Kwani wewe nyumbani kwako huitwi daddy? Mbona my wife mke wangu ananiita daddy kwani kuna shida gani? Hapo kanamaanisha wewe ni baba wa watoto wa kenyewe! Kape kichapo mpaka Kawe kana kuita daddy ukiwa kifuani!
 
Ila vi mwanamke vya Dar vinashangaza sana. Hapa jirani na kwangu kuna kimdada sijui kilikuwa kinanitega? Mwanzoni kilikuwa kinanisalimia habari za leo sasa juzi kamemwona my wife na ghafla siku hiyo kakaanza kuniamkia! Daddy endelea kujilia ila punguza tu kugawa maokoto!
 
Back
Top Bottom