Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?

Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?

Kuna huyo nilienda nae weee badae nikamuambia bwana mie fulani ahahaaa akasema alikuwa ananitania hapo kashaomba mtoko mara kibao shida nilikua mbali nae ningeonana nae kwa mara ya pili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulimuumbua vibayaaa.
 
Me mmoja nilishindwa kuvumilia nikamwambia
Akasema ninyamaze
Na nimenyamaza hadi sahii

Sometimes namuonaga anavyojilike
Nachekaaaaa
Napita hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebuu mtajeee.
 
Mie huwa nacheka mtu anakuja kwako kwa ID zaidi ya 2 ili akupatee. Afu sasa kila anavokuja na ID ingnee unamshtukiaaa, unamuachaa ajimalizeee afu unamshtua, ukimshtuaa analipukaaa etii oooh nilikua nakutegaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wee baba hizo ID zako 3 mie sikutakiiiiiii, aiiiiiiiih Lol.
 
Me mmoja nilishindwa kuvumilia nikamwambia
Akasema ninyamaze
Na nimenyamaza hadi sahii

Sometimes namuonaga anavyojilike
Nachekaaaaa
Napita hivi
ila kuna mmoja wapo umenasa kwake [emoji28][emoji28]
 
Si ni bora hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Kuna ile umemkimbia mtu na ID yake A
Akakujia na ID B halafu unaenda kukutana nae unakuta ni same person

Jamani kuna watu hawakimbiliki [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣 Unkimbikable bora umpe kiishe tu
 
Umeshabadili ID yako inayojulikana na mwana JF fulani. Ukafungua ID nyingine akaja akakutongoza.

Wewe unamjua yeye anadhani ni member mpya au mwingine.

Unamalizanaje naye.....unamkwepa? unamuignore au unaenda naye hadi mwisho?
Duuh
 
Kwa avatar yangu hyo wengi walikuja kwangu kuomba namba Kisha tuonane wanadhani mm Ni ke wkt huyo manzi alinibless tunda lake Kisha na mm nikamuwekea kweny dp yangu ,kumuenzi kwa SAS Yuko masomoni njee huko mtot wa kigogo mkubwa
Chai
 
Kuna huyo nilienda nae weee badae nikamuambia bwana mie fulani ahahaaa akasema alikuwa ananitania hapo kashaomba mtoko mara kibao shida nilikua mbali nae ningeonana nae kwa mara ya pili.
Kumbe watu huwa mnakutana
 
Back
Top Bottom