Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Hatari sanahukipati ng'oo 😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sanahukipati ng'oo 😎
Ilitokea mazoea jukwaani akaja pm. Tukawa tunawasiliana tu kawaida ikafika muda akaomba tuonane baada ya muda mapenzi yakazaliwa.Ohoooo! tupe uzoefu kidogo
Ngoja tukufanyie enchantment 🏃🏃🏃Wee nenda naye hadi mwisho... watu wanatongoza maghost, ngoja yaje kuwatokea ya kuwatokea.
Ila watu kwanini wanapenda kutongoza tongoza hovyo?
Tongoza ila unachokitaka, hukipati ng'oo 😎😄😄😄😄😄😄
Kama mlidate vzr mkatunziana Siri ni jambo jema maana nature ya watu humu friji zilishayumbaIlitokea mazoea jukwaani akaja pm. Tukawa tunawasiliana tu kawaida ikafika muda akaomba tuonane baada ya muda mapenzi yakazaliwa.
Friji zao hazigandishi 🤣🤣Kama mlidate vzr mkatunziana Siri ni jambo jema maana nature ya watu humu friji zilishayumba
Za wapendanao zikitimia inakuja ID mpya utapopolewa mpaka ukomeFriji zao hazigandishi 🤣🤣