Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,190
Bado haibadilishi kuwa Konge gang ni ya Kimakonde, hizo bendi nilizisikiliza sana redioni enzi hizo kwenye vipindi kama Zilipendwa(RTD) na zilikuwa zikiwakilisha sehemu husika mpaka wenyeji wa maeneo zilipotoka bendi hizo walijivunia sana.Kwa wale wakongwe, wanajua kulikua na baathi ya band za muziki zilikua zinatambuka kwa majina ya mikoa, lakini sisi walaji tulikua hatuangalii jina, bali burudani. Mfano: Dar Jazz AKA, majini wa Bahari, Tabora Jazz, Moro Jazz, Mitonga Jazz, Amboni Jazz na band zingine.
Ajabu kijana wa kisasa unaangalia ukabila kwenye burudani, sipati picha maeneo mengine ukoje kwa ubaguzi.
Muimba maarufu wa 'Rangi ya chungwa' ya Tabora jazz(mzee Apatae) ni rafiki yangu na nimeishi naye Harare back in the days. Jina la kabila ni alama(pia ni haki) ya wahusika kujivunia kabila lao, Konde gang ni haki yao lakini haibadilishi ukweli kuwa ni kundi la Wamakonde.