Hivi unashabikiaje Konde Gang?

Hivi unashabikiaje Konde Gang?

Kwa wale wakongwe, wanajua kulikua na baathi ya band za muziki zilikua zinatambuka kwa majina ya mikoa, lakini sisi walaji tulikua hatuangalii jina, bali burudani. Mfano: Dar Jazz AKA, majini wa Bahari, Tabora Jazz, Moro Jazz, Mitonga Jazz, Amboni Jazz na band zingine.
Ajabu kijana wa kisasa unaangalia ukabila kwenye burudani, sipati picha maeneo mengine ukoje kwa ubaguzi.
Bado haibadilishi kuwa Konge gang ni ya Kimakonde, hizo bendi nilizisikiliza sana redioni enzi hizo kwenye vipindi kama Zilipendwa(RTD) na zilikuwa zikiwakilisha sehemu husika mpaka wenyeji wa maeneo zilipotoka bendi hizo walijivunia sana.
Muimba maarufu wa 'Rangi ya chungwa' ya Tabora jazz(mzee Apatae) ni rafiki yangu na nimeishi naye Harare back in the days. Jina la kabila ni alama(pia ni haki) ya wahusika kujivunia kabila lao, Konde gang ni haki yao lakini haibadilishi ukweli kuwa ni kundi la Wamakonde.
 
Enzi hizo hizo nyimbo hazikua zilipendwa, maana zilikua katika wakati wake. Kipindi cha zilipendwa kilianzishwa kwa ajiri ya kukumbuka nyimbo za nyakati za nyuma na siyo aina ya nyimbo.
mpaka hapa nimeelewa unatokea maeneo gani hapa Tanzania.
 
Nimekutajia nyimbo za seventies ambazo nilizizoea later on wakati nikizisikiliza kwenye zilipendwa and it's obvious kuna wakati zilikuwa latest hata nyimbo za fifties na sixties wakati zikitoka zilikuwa ni new release(latest) ila ukizisikia like a decade baada ya kutoka ndiyo experience ninayozungumzia baada ya kutoka.
 
Enzi hizo hizo nyimbo hazikua zilipendwa, maana zilikua katika wakati wake. Kipindi cha zilipendwa kilianzishwa kwa ajiri ya kukumbuka nyimbo za nyakati za nyuma na siyo aina ya nyimbo.
mpaka hapa nimeelewa unatokea maeneo gani hapa Tanzania.
Hauwezi kujua wala kuhisi ninapotokea, born and raised Dar ni kama sina kabila zaidi ya kuwa m'Tz au Mswahili.
 
Wakianza ishi maisha yao.. Hakika watafika mbali..
Shida yao wanakopi ...

Cheki sasa wanavyoumbuka...
Huyu Mmakonde akalipe deni la house rent kule Mbezi kwa Mzee Usiri.

Badala ya kulipa pesa za watu kachafuwa nyumba kaacha KY ndani.
 
Ni label ya Wamakonde na ndiyo maana imechukua jina la kabila.
Mfano kuwe na:
-Kurya gang
-Zaramo gang
-Nyakyusa gang
-Masai gang
And so on and so forth.
Sukuma gang
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom