Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Guys kiukweli mwanamke muongo anaumiza sana,,, Binafsi nasema toka moyoni siwezi kuendeleza dating na demu niliyemgundua dhahiri kuwa ni Muongo, kwanza sifa ya kwanza ya mwanamke Muongo ni MALAYA na zingine nyingi kedekede..
Binafsi mwezi wa 12 uliopita nimeamua kuvunja uhusiano kabisa na Mrembo mmoja niliyekuanae ndani ya kipindi kifupi tu, ukweli ni kuwa Huyu binti ni MUONGO tena sana, anaweza kuaga kuwa anaenda mji jirani kwa Shangazi wake kumbe amekwenda sehemu nyingine anayeijua yeye, sasa kama mtu uko honest kabisa na safari zako au milolongo yako kwanini udanganye..? Ndo inaonesha dhahiri kabisa kuwa ni msaliti why hasiseme kweli, Ila hata hvyo nilishazifahamu mingimingo zake zote kwa sababu me mwenyewe ni mtoto wa mjini pia.
Siku moja nikamchana live nikamuambia siwezi kuwa na msichana muongo kama ww, mwanamke muongo ni muuaji kabisa.
Eeeeh jamani kwa msichana yule tu nimeshindwa japo yuko vizuri kitandani na anajua kuzungusha kiuno ila hapana wacha niende zangu ataniua siku si zangu wallah