Hivi unaweza kuendeleza mapenzi kwa mwanamke muongo?

Hivi unaweza kuendeleza mapenzi kwa mwanamke muongo?

Halafu mje mseme kenzy tu ndo nagalagazwa na mapenzi hamumuoni huyu..?


Pole ndugu ndo maisha hayo[emoji3]
Mapenzi yanatesa mkuu kila uchwao na wengi wanateseka si Persists si bourgeois
 
Kuna malaya mmoja nilikaa nae nikijua kabisa sio...kuna siku aliniaga anaenda kumuangalia mgonjwa uzuri mimi nilienda pia hiyo hospital nikampigia simu akanipanga nikajua huyu ni muongo acha leo nimtimue. Nikarudi nyumbani akanipigia cm akadai kaambiwa alale na mgonjwa nikamwambia poa endelea kukaa na mgonjwa mpaka apone ndio urudi. Mchezo ukaishia hapo siku iliyofuata akaja kubeba virago vyake.
Yaaaah, ndo kawaida Yao sasa nawe ukijiongeza kidogo tu unamkamata.. mademu hawa ni pasua kichwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona nyie wanaume ndio mnaongoza Kwa uongo...kumbe inauma eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulia wewe, una jina zuri alafu unakuwa na mambo za ajabu[emoji14][emoji14][emoji14]... Nyie wanawake ni waongo square unakuta mwanamke anadanganya anakwenda kwa Shoga wake kumbe anaenda kutafunwa vuzi,,,hatari sana nyie viumbe
 
Mkule tu ukichoka unasepa jumla..
Hakuna haja ya kujiuliza sana maana perfect hayupo ivo mwisho wa siku utaoa tu yeyote
 
Kuna kimdada kimoja niliwahi fahamiana nae aisee yule alikuaga ni muongo..mtu anadanganya hadi anapokaa na akiwa anaondoka anaenda kukaa kituo cha basi hadi saa nzima ndo anaenda kwao...yani siku akaja kuumwa ndo ikaja julikana anapokaa..kuna watu wengine hua hawawezi kusema ukweli hata kidogo...
 
Mtu kama huyo kiongozi unaishi kwa akili tu ukishamjua tabia yake asikupe shida afu kuacha mwanamke asee kwangu shida nikiona hatuendani hali thumni yangu mengine hayo ya mbususu unakula zako tu mpaka aende mwenyewe unamtreat kama extra
 
Baba Kibonge Hapa Kuna point kabisa mkuu,, mwenyewe nakubali kabisa.. maana sasa nishamtoa kwenye malengo yangu sasa kilichobaki ni kuendelea kumtafuna Sina mda na calls zake, meseji zake wala safari zake akili kichwani mwangu..
 
Back
Top Bottom