Hivi unaweza kuendeleza mapenzi kwa mwanamke muongo?

Hapa Kuna point kabisa mkuu,, mwenyewe nakubali kabisa.. maana sasa nishamtoa kwenye malengo yangu sasa kilichobaki ni kuendelea kumtafuna Sina mda na calls zake, meseji zake wala safari zake akili kichwani kwangu..
 
Eeeeh jamani kwa msichana yule tu nimeshindwa japo yuko vizuri kitandani na anajua kuzungusha kiuno ila hapana wacha niende zangu ataniua siku si zangu wallah
 
Eeeeh jamani kwa msichana yule tu nimeshindwa japo yuko vizuri kitandani na anajua kuzungusha kiuno ila hapana wacha niende zangu ataniua siku si zangu wallah
Hyo verse imekufurahisha..?
 
Kwenye hili wahanga ni wengi sana.

Hapa ngoja niwaandikie hiki kituko.

Kuna hiyo manzi nilitokea kuikubali ile mbaya basi mipango ya kimaisha ikafanyika.

Baada ya muda ikasema ina mimba. Siku zilienda ikajifungua. Niligundua mtoto hakuwa wangu baada ya kutunza mimba tangu ikiwa changa miezi ya awali kabisa.

Kumbe sikujua bado alikuwa na misje zake hata baada ya kuja kwenye maisha yangu. Mtoto akamuumbua maana alizaliwa akiwa anafanana na baba yake balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…