Unafanya utafiti au unapenda tu kubisha, wanajamvi sio wajinga, humu watu wameoa mi nawajua wawili lakini kuubwa linalowafariji watu zaidi wanapata sana za kukwaruriwa na wadada wanakwaruriwa watu wanaowatamani,unajua mila zetu wadada walikuwa wanagoja kutongozwa tu?
sasa maisha yanaenda katika mikwaruano hiyo watu wanaweza wakapendana hadi wakaoana, hivyo ni nzuri na inasaidiana sana kwenye kukwaruana, wadada sasa wamepata pa kutongozea kwa kuweka vigezo nataka msomi, cjui mrefu mara mwembamba, hapo wanajichagulia, big up saaana wabunifu wa hili jukwaa,