Hivi unaweza kupata Mchumba/Mke humu???

Hivi unaweza kupata Mchumba/Mke humu???

Chanazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2010
Posts
212
Reaction score
64
Me naona tu watu wanatafuta wake na wachumba kwa bidiii humu... ni kweli mambo yako serious kiasi hicho? na mnafanikiwa kupata??
em niondoleeni utata tafadhali...
PM kwa vigezo vya mlengo wa kati...
 
Unafanya utafiti au unapenda tu kubisha, wanajamvi sio wajinga, humu watu wameoa mi nawajua wawili lakini kuubwa linalowafariji watu zaidi wanapata sana za kukwaruriwa na wadada wanakwaruriwa watu wanaowatamani,unajua mila zetu wadada walikuwa wanagoja kutongozwa tu?
sasa maisha yanaenda katika mikwaruano hiyo watu wanaweza wakapendana hadi wakaoana, hivyo ni nzuri na inasaidiana sana kwenye kukwaruana, wadada sasa wamepata pa kutongozea kwa kuweka vigezo nataka msomi, cjui mrefu mara mwembamba, hapo wanajichagulia, big up saaana wabunifu wa hili jukwaa,
 
Umepinda wewe,
 
Me naona tu watu wanatafuta wake na wachumba kwa bidiii humu... ni kweli mambo yako serious kiasi hicho? na mnafanikiwa kupata??
em niondoleeni utata tafadhali...
PM kwa vigezo vya mlengo wa kati...

Wapo waliopinda kama akina wavisa , kuwa makini.
Lakini wachumba wakweli wapo humu ndani.
 
Kama yupo wa ukweli anicheki basi PM nithibitishe usemi wenu.. Lol

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom