Hivi unaweza kusoma computing science na kusoma code bila kupitia mfumo rasmi wa elimu?

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Aisee hivi unaweza kusoma computing sciences na kusoma code bila ya mfumo rasmi wa elimu kwa Tanzania na je kuanzisha financial technology company(fintech) vigezo vyake ni vipi?

*********
 
Programming iko ndani ya computer science. Yes unaweza jifunza coding na ukatengeneza softwares bila hata kusoma cs yote
Problem is mfumo wa ajira zetu unaotaka vyeti badala ya practicality effieciency ya mtu utakuwngisha
Unless ume plan kujiajiri
 
Ok mkuu
 
Inawezekana tena unaweza ukawa vizuri kuliko hao wenye degree za computer science ,note kuusu ajira serikalini ni ngumu kupata but kwengine inawezekana
 
Aisee hivi unaweza kusoma computing sciences na kusoma code bila ya mfumo rasmi wa elimu kwa Tanzania na je kuanzisha financial technology company(fintech) vigezo vyake ni vipi?

*********
Yeah, unaweza kusoma Computer Science na kujifunza coding bila kupitia mfumo rasmi wa elimu.

Njia maarufu zaidi ni vyanzo vya mtandaoni, vitabu, na mazoezi ya kiutendaji ambayo yanaweza kukusaidia kupata ujuzi unaohitajika.

Masomo ya Mtandaoni
Kuna tovuti kama Coursera, edX, na Udemy zinazotoa kozi za bure na za kulipia katika masomo ya Computer Science na coding, kuanzia ngazi ya msingi hadi ngazi ya juu. Pia, FreeCodeCamp ni tovuti nzuri sana inayotoa kozi za bure, mazoezi, na vitendo.

Vitabu na Blogu
Kuna vitabu vingi vinavyofundisha coding kwa urahisi. Vitabu kama "Python Crash Course" kwa Python au "Eloquent JavaScript" kwa JavaScript vinaweza kusaidia.
Blogu kama Medium na Dev.to zinachapisha makala zinazosaidia kufahamu zaidi kuhusu masuala tofauti katika Computer Science na coding.

Mazoezi ya Vitendo
Kujifunza kwa vitendo ni muhimu. Tovuti kama LeetCode, HackerRank, na CodeWars zina changamoto za coding zinazokusaidia kuboresha uwezo wako wa kutatua matatizo na kujifunza nadharia kwa njia ya vitendo.

Mitandao ya Wataalamu
Kujifunza kupitia jamii kama Reddit, GitHub, na Stack Overflow kunaweza kusaidia kupata msaada na rasilimali, hasa unapokutana na changamoto. Pia, unaweza kupata fursa ya kushiriki kwenye miradi ya wazi (open-source) na kuanza kujenga uzoefu.

YouTube na Podcast
Kuna mafunzo mengi ya bure kwenye YouTube kutoka kwa waalimu na watengenezaji wa programu wanaoshiriki maarifa yao kuhusu mada tofauti kwenye Computer Science na coding.

Kwa njia hizi, unaweza kufikia kiwango kikubwa cha ujuzi bila ya kuhudhuria chuo au taasisi rasmi.

Ova
 
Ok ngoja nizitafute mkuu 🙏🙏
 
Habari hivi kuna chuo chochote Tanzania kinatoa online course ya computer science degree tofauti Open university of Tanzania
 
Programing ni skill tu na sio degree na hauhitaji degree kuanzisha startup kama usivyohiitaji kuuza maandazi. Ni biashara. Programing ni part tu ya Computer science course.
 
Back
Top Bottom