Hivi unaweza kuwa na akili timamu ukakubali baba yako mzazi auze samaki akiwa na umri wa miaka 92 na ukakubali alalie mkeka?

Tanzania kuna watu wapumbavu Sana.

Mifumo ya dunia kila mtu ni mbinafsi ,mtu akipata kazi anataka kuishi mbali na kwao roho ya ubinafsi inamshika .Siku kadhaa mbele akishaoa ndio basi kabisa hana time na sehemu nyingine
Msihukumu haraka haraka hivyo. Kila mtu anaijua historia yake na familia yake.

Maisha uliyoishi wewe sio sawa na mimi kwahiyo maamuzi nitakayo chukua wakati fulani maishani hupaswi ku judge kabla hujajua sababu ya mimi kufanya nilichofanya.
 
Msihukumu haraka haraka hivyo. Kila mtu anaijua historia yake na familia yake.

Maisha uliyoishi wewe sio sawa na mimi kwahiyo maamuzi nitakayo chukua wakati fulani maishani hupaswi ku judge kabla hujajua sababu ya mimi kufanya nilichofanya.
Mimi sijawahi kuishi na mama yangu karibia miaka 15 yaani ile hakuna kuonana wala hakuwahi kunipigia simu ,but nilivyomake mambo yangu nikamchek mpaka sasa anakula posho kila mwisho wa mwezi ila hakuwa na shobo na mimi kabisa.
 
Kwanini hao watoto hawamsaidii Mzee kukarabati nyumba yake?...
 
Mimi sijawahi kuishi na mama yangu karibia miaka 15 yaani ile hakuna kuonana wala hakuwahi kunipigia simu ,but nilivyomake mambo yangu nikamchek mpaka sasa anakula posho kila mwisho wa mwezi ila hakuwa na shobo na mimi kabisa.
Upo sawa mkuu, hapo inategemea sasa hukuishi nae na hakuwa na shobo na wewe kutokana na sababu gani.

Ndio maana nikakuambia kuwa usihukumu kwakuwa huijui historia ya mtu na pia historia yako haiwezi kufanana na ya mwenzako.

Circumstances zina tofautiana. Inawezekana wewe mama yako aliwekewa mazingira magumu ya kupata access kuwa na wewe au kuwasiliana na wewe.

Kila mtu ana story yake kwahiyo usihukumu mtu.
 
Kuna umri ukifika wazee wetu huwa wanaamini misimamo yao sana. Ni wabishi na huwa hawataki kujaliwa zaidi kama watoto wao wenye uwezo wanavyotaka. Unakuta mnaandaa mazingira mazuri Mzee atulie halafu yeye anasema niacheni na shughuli yangu / maisha yangu, nimezoea. Jaribu pia kuchunguza hili.
 
Huyu mzee Ana miaka 92 na ana watoto wameajiriwa huko serikalini Ila anauza samaki na kulalia mkeka

This is bullshit.

View attachment 3237690
Ssasa kama hela zakw yeye ujana wake alizitumia kula Pombe kuvua Wanawake Vyupi kwa idadi nyingi tena akitamba mtaani unataka Badae aje kul hela za nani bure??

Maisha ni kujipanga. Ule za kwako bata harafu sisi tuliojinyima uje kutulilia huruma?
 
Utalalia mkeka na kuuza samaki hata ukiwa na miaka 200, kama kazi yako itakua kuzalisha wanawake na kuwatelekeza halafu kutwa kupiga domo mtandaoni kuwatukana single maza.
🤣🤣🤣🤣Kweli kabisa.

Wewe pesa zako unadinya unazaa unatelekeza unajiona Kidume


Mtu wa hivi atakuwa analallamima tu ndugu wamemttupa🤣
 
Mimi nilizaliwa katika familia masikini sana na tulikuwa tunaishi katika nyumba ya matope. Baadhi ya kaka zangu walikuwa na uwezo lakini hawakumsaidia Mzee. Mimi ni mtoto wa 8 katika watoto 9. Kwa hivyo Mzee alikuwa keshazeeka.

Nilipopata kazi tu nilimjengea baba yangu nyumba mpya ile ya zamani nikaivunja. Kisha nikamununulia fanicha mpya na nguo mpya na nikamuwekea mtu wa kumsaidia usafi na kupika na nilikuwa namlipa, mke wake alishafariki kwa hivyo alikuwa hana wa kumuhudumia.

. RIP Mzee wangu
 
Wewe mzee wako hakukutelekeza ndiyo maana ulikuwa na roho hiyo(hukumuona ujana wake alikuwaje)
 
Well done
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…