Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Tanzania kuna watu wapumbavu Sana.
Msihukumu haraka haraka hivyo. Kila mtu anaijua historia yake na familia yake.Mifumo ya dunia kila mtu ni mbinafsi ,mtu akipata kazi anataka kuishi mbali na kwao roho ya ubinafsi inamshika .Siku kadhaa mbele akishaoa ndio basi kabisa hana time na sehemu nyingine
Maisha uliyoishi wewe sio sawa na mimi kwahiyo maamuzi nitakayo chukua wakati fulani maishani hupaswi ku judge kabla hujajua sababu ya mimi kufanya nilichofanya.