Hivi unaweza kuwa na akili timamu ukakubali baba yako mzazi auze samaki akiwa na umri wa miaka 92 na ukakubali alalie mkeka?

Utalalia mkeka na kuuza samaki hata ukiwa na miaka 200, kama kazi yako itakua kuzalisha wanawake na kuwatelekeza halafu kutwa kupiga domo mtandaoni kuwatukana single maza.
mbona na wewe ni kama una dalili za kuwa single maza vile, maana sio kwa mapovu haya dogo 🀣🀣🀣🀣🀣
 
mbona na wewe ni kama una dalili za kuwa single maza vile, maana sio kwa mapovu haya dogo 🀣🀣🀣🀣🀣
Dah! Kaka usiniombee hivyo nitaliaπŸ˜‚
 
Shida ni kwamba akipewa kitanda na mtaji mkubwa baada ya mwez wataanza kulaumiwq wale waliotoa Masada kwamba wangemwacha alalie mkeka na kuuza samaki angeendelea kuwa hai ona sasa
 
Huyu mzee Ana miaka 92 na ana watoto wameajiriwa huko serikalini Ila anauza samaki na kulalia mkeka

This is bullshit.

View attachment 3237690
Ndugu yangu mbona huko mbali sana kuna watu wanakufa na bilioni kumi kwenye account. Halafu hana mtoto ata mmoja anayejua milioni kumi ikoje.Kuna mtu anafariki anaambiwa aje achukiwe hela ya mauzo apeleke benki anakuja na Boksi tupu la Rim paper. Mtoto wa marehemu anadhani milioni kumi inajaza kwenye box la Rim paperπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kuna jamaa alifariki watoto wakauza kiwanja alichonunua mbezi beach milioni 80 miaka kumi iliyopita kwa milioni 150. Wakati kuna jirani anauza kiwanja kidogo kuliko hicho kwa 500m. Aisee sisi Afrika tuna watu wajinga sana mtu wangu.
 
Utalalia mkeka na kuuza samaki hata ukiwa na miaka 200, kama kazi yako itakua kuzalisha wanawake na kuwatelekeza halafu kutwa kupiga domo mtandaoni kuwatukana single maza.
πŸ’©πŸ€£πŸ’© singo maza mbona umetapika sana, punguza makasiriko utakufa mapema... Just enjoy na usingo maza wako pambana acha kulialia πŸ’©πŸ’©
 
Utalalia mkeka na kuuza samaki hata ukiwa na miaka 200, kama kazi yako itakua kuzalisha wanawake na kuwatelekeza halafu kutwa kupiga domo mtandaoni kuwatukana single maza.
Ukweli mchungu huu
 
Wazee wengine wakoloni sana waache walale chini.
 
Kuwalaumu watoto ni kuwaonea....na yeye si alikuwa kijana huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…