Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
mbona na wewe ni kama una dalili za kuwa single maza vile, maana sio kwa mapovu haya dogo 🤣🤣🤣🤣🤣Utalalia mkeka na kuuza samaki hata ukiwa na miaka 200, kama kazi yako itakua kuzalisha wanawake na kuwatelekeza halafu kutwa kupiga domo mtandaoni kuwatukana single maza.