Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
😅😅😅 Aiseehuko kwa shetani wana utaratibu gani mana wewe ndie wakili wake!
au nadanganya😅😅😅 Aisee
Uko sahihi kabisa 😅 😅😅au nadanganya
haha haya alamsiqUko sahihi kabisa 😅 😅😅
Shukran 😊😊haha haya alamsiq
Inawezekana ukafunga ndoa bila kutoa mahari, yaani hata ukiambiwa utoe ukagoma? Mahari ni lazima ili kufunga ndoa?
Mfano mmekubaliana mnaenda kufunga ndoa ya kiserikali au kanisani. Kuna kigezo cha kuwa mahari lazima iwe imetolewa?
Ok, haujui. Ngoja tusubiri wanaofahamu.Jaribu, then tuletee mrejesho
Siri za mtejaHuko kwa shetani wana utaratibu gani mana wewe ndie wakili wake!
Ndiyo unaweza mimi nimeoa majuzi tu mke wapili kwa dc wala sikuulizwa habari ya mahari na ni ndoa ua siri hata ndugu zake mke hawajui na tunaishi vzr tu huku tukitekeleza malengo yetu,alikuwa mchepuko wa siku nyingi sana nimempandisha cheo sasa.Inawezekana ukafunga ndoa bila kutoa mahari, yaani hata ukiambiwa utoe ukagoma? Mahari ni lazima ili kufunga ndoa?
Mfano mmekubaliana mnaenda kufunga ndoa ya kiserikali au kanisani. Kuna kigezo cha kuwa mahari lazima iwe imetolewa?
Nashukuru sana mkuu kwa ushuhuda.Ndiyo unaweza mimi nimeoa majuzi tu mke wapili kwa dc wala sikuulizwa habari ya mahari na ni ndoa ua siri hata ndugu zake mke hawajui na tunaishi vzr tu huku tukitekeleza malengo yetu,alikuwa mchepuko wa siku nyingi sana nimempandisha cheo sasa.
Ndoa ni ya watu wawili mke na mme wamaojifingia chumbani basi
Wanataka tu kupiga pesa. Kama wanataka mtu utoe mahari basi sheria zote za kitamaduni za mahari zifuatwe. Zamani ukitoa mahari, na ikatokea mkeo amekufa basi wakwe zako wanakurudishia pesa au wanakupa mke mwingine. Kama alikuzalia watoto au hakukuzalia, kunahesabu zake. Watoto wa kiume na wa kike, kuna hesabu zake. Mkiachana kuna hesabu zake. Unakuta kamtu kamekomaa blankenti la babu, sijui ny*ko ya shangazi, kanajidai kanajua mila na desturi. Ukikaleta huku kanaanza habari za haki na nini nini? Tunahitaji kampeni ya kugoma kutoa mahari🙂.Kutoa mahari ni ujinga
Basi kama wamekubana sana toa hata robo,sio utoe yote utakuwa boya
Achana kabisa na mambo ya mahari kabisa kwani watoto mtakao zaa hawatakuwa wako peke yako na pia mnaoana na kuzalishana so hapo ni ngoma draw.Nashukuru sana mkuu kwa ushuhuda.