Hivi unaweza ukaoa halafu ukagoma kutoa mahari?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Inawezekana ukafunga ndoa bila kutoa mahari, yaani hata ukiambiwa utoe ukagoma? Mahari ni lazima ili kufunga ndoa?

Mfano mmekubaliana mnaenda kufunga ndoa ya kiserikali au kanisani. Kuna kigezo cha kuwa mahari lazima iwe imetolewa?
 
11DD23E3-BCAA-48E9-A276-B44347C62EA3.jpeg
 
Si uwaambie wazazi kabla kwamba mahari hutotoa kwa sababu binti yao hujamkuta sild.
 
Inawezekana ukafunga ndoa bila kutoa mahari, yaani hata ukiambiwa utoe ukagoma? Mahari ni lazima ili kufunga ndoa?

Mfano mmekubaliana mnaenda kufunga ndoa ya kiserikali au kanisani. Kuna kigezo cha kuwa mahari lazima iwe imetolewa?
Ndiyo unaweza mimi nimeoa majuzi tu mke wapili kwa dc wala sikuulizwa habari ya mahari na ni ndoa ua siri hata ndugu zake mke hawajui na tunaishi vzr tu huku tukitekeleza malengo yetu,alikuwa mchepuko wa siku nyingi sana nimempandisha cheo sasa.

Ndoa ni ya watu wawili mke na mme wamaojifingia chumbani basi
 
Nashukuru sana mkuu kwa ushuhuda.
 
Kutoa mahari ni ujinga

Basi kama wamekubana sana toa hata robo,sio utoe yote utakuwa boya
Wanataka tu kupiga pesa. Kama wanataka mtu utoe mahari basi sheria zote za kitamaduni za mahari zifuatwe. Zamani ukitoa mahari, na ikatokea mkeo amekufa basi wakwe zako wanakurudishia pesa au wanakupa mke mwingine. Kama alikuzalia watoto au hakukuzalia, kunahesabu zake. Watoto wa kiume na wa kike, kuna hesabu zake. Mkiachana kuna hesabu zake. Unakuta kamtu kamekomaa blankenti la babu, sijui ny*ko ya shangazi, kanajidai kanajua mila na desturi. Ukikaleta huku kanaanza habari za haki na nini nini? Tunahitaji kampeni ya kugoma kutoa mahari🙂.
 
Back
Top Bottom